Mzee Kikwete alimtuma Membe kwa Mwl Nyerere

GARETHBALE

Member
Dec 22, 2013
76
332
JK ALIMTUMA MEMBE KWA MWL.NYERERE.

Mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 aliyekuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Mwl.Julius Kambarage Nyerere alifanya ziara ya kikazi na kimatibabu katika nchi mbili tofauti bara la Amerika nazo ni Canada na Marekani.

Ziara yake ya kimatibabu ilikuwa ni kwasababu ya kufanyiwa upasuaji mdogo wa macho.Ile ya kikazi ilihusu kutoa mihadhara katika vyuo vikuu na kupokea shahada ya heshima kutoka kwenye moja ya vyuo vikuu vya nchi hizo alizopanga kuzuru.

Ziara yake ilianzia nchini Canada.Ubalozi wa Tanzania nchini Canada ulihusika na masuala yote ya mapokezi yake.Mmoja wa maofisa wa juu ya ubalozi aliyehusika kwa ukaribu na mapokezi hayo alikuwa Ndg.Bernard Kamilius Membe.

Ni wakati ambao Ndg.Bernard Kamilius Membe alikuwa katoka kuhitimu masomo yake ya shahada ya uzamili kwenye masuala ya diplomasia katika moja ya vyuo vikuu bora duniani John Hopkins University ya nchini Marekani.Na ndio wakati ambao joto la siasa za vyama vingi lipo juu sana nchini Tanzania.Ikumbukwe Ndg.Bernard Kamilius Membe baada ya kuhitimu shahada yake ya uzamili alirejea nchini Tanzania na kufanya kazi kwa muda mfupi kama mshauri wa masuala ya ulinzi na usalama kwenye wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa.

Turejee kwenye msingi wa makala hii.Baada ya Mwl.Julius Kambarage Nyerere kuwasili nchini Canada aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Bagamoyo(wakati huo)kabla ya kutenganishwa na kuzaliwa jimbo la Chalinze Ndg.Jakaya Mrisho Kikwete alimpigia simu Ndg.Bernard Kamilius Membe kama rafiki yake mkubwa na kumwomba msaidie jambo fulani.

Jambo lenyewe lilikuwa ni kumuuliza Mwl.Julius Kambarage Nyerere je na wao vijana(kwa wakati ule)wanaweza kuomba ridhaa ya chama kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!?Ndg.Bernard Kamilius Membe alikubali kumuulizia swali lake na kumuahidi atampatia majibu ya Mwl.Julius Kambarage Nyerere haraka iwezekanavyo baada ya kujibiwa.

Ndg.Bernard Kamilius Membe alitekeleza ombi la Ndg.Jakaya Mrisho Kikwete.Mwl.Julius Kambarage Nyerere alimjibu kuwa vijana wasiogope.Waombe ridhaa na wakishinda watateuliwa.Ndio msingi wa demokrasia ya Chama Cha Mapinduzi na nchi kwa ujumla.

Baada ya kupatiwa jibu hili Ndg.Bernard Kamilius Membe alimpigia simu Ndg.Jakaya Mrisho Kikwete na kumjulisha kuwa Mwl.Julius Kambarage Nyerere kabariki vijana wachukue fomu ya kuomba ridhaa katika chama ili wawanie urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Na huu ndio ukawa mwanzo wa safari ya "wanamtandao" katika siasa za nchi na Chama Cha Mapinduzi.

Je, unataka kujua kingine zaidi ya hiki walichoongea Mwl.Julius Kambarage Nyerere na Ndg.Bernard Kamilius Membe kwenye mwanzo wa siasa za ushindani wa vyama vingi kwenye taifa letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!?

Tuungane tena kesho muda kama huu...
 
Wanamtandao walikuwa Disaster kwa CCM na taifa kwa ujumla
 
MKUU Naona andiko la kibobezi linaelezea undani wa namna watu walivyotoka mbali!! walivyokuwa na affiliation na Baba wa Taifa.

Nawahi siti ya mbele kesho! weita leta serengeti funhu moja baridi💪💪💪
 
Ni vema ukaweka miaka ambayo matukio hayo yalifanyika, hii itatusaidia kutambua mtiririko wa matukio na kuepusha kulishwa matango pori
 
Makala mubashara kabisa

Heko
 
ndiooo
 
Thanx
 
Hii ni historia...........Watanzania wanaishi katika uhalisia!
 
Moja ya uzi inayonifanya nipaelewage je, nitaufuatilia hadi mwisho mkuu

Similar Discussions

Back
Top Bottom