Mzee Jackson & Mkewe Wakiwa Na Watoto Wao

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,193
4,661
Ilikuwa Familia yenye umoja na mahikamano

FB_IMG_16011420301376892.jpg
 
Michael Jackson alizaliwa kijana mmarekani mweusi akafa akiwa demu wa kidhungu ;-)

Sent from my SM-T555 using JamiiForums mobile app
hakupenda kuwa hivo alivokuwa ni aliumwa akaanza kubadilika rangi,ugonjwa unaitwa vitilgo nadhani, hata kwenye Autopsy report yake walithibitisha kwamba aliumwa huo ugonjwa kwa maana walimkuta na rangi mbili kwenye nanii yake
 
Watu wakikaa kijiweni kunywa alkasusu husema lolote ilimradi wapoteze muda. Unaweza kuta hata ukiwaelezea vitiligo hawatojua ni kitu gani.
 
hakupenda kuwa hivo alivokuwa ni aliumwa akaanza kubadilika rangi,ugonjwa unaitwa vitilgo nadhani, hata kwenye Autopsy report yake walithibitisha kwamba aliumwa huo ugonjwa kwa maana walimkuta na rangi mbili kwenye nanii yake
Sasa mbona nasikia aliwahi kufanya oparesheni ya pua ili ichongoke aweze kuwa na mvuto.Je,nayo ni Kwasababu ya ugonjwa?.
 
Alivunjika pua baada ya kuanguka,kuna story nyingi za uwongo kuhusu MJ na wavivu wa hata ku google mnatembea nazo hivyo hivyo,MJ alikua na ugonjwa wa ngozi na aliwahi kuungua moto akitengeneza tangazo la Pepsi,so kuwa mweupe ni sehemu ya madhara ya huo ugonjwa
 
hakupenda kuwa hivo alivokuwa ni aliumwa akaanza kubadilika rangi,ugonjwa unaitwa vitilgo nadhani, hata kwenye Autopsy report yake walithibitisha kwamba aliumwa huo ugonjwa kwa maana walimkuta na rangi mbili kwenye nanii yake
Mkuu kuwaelimisha wabongo utapata tabu sana! Wengi huwa hawafatilii wanasikiliza juu juu hata ile ziara yake aliyoifanyaga hapa bongo Michael Jackson wanasema ati alisema pananuka akarudi kwenye ndege akala kona😂 wakati mti alifanya ziara akatoa na misaada ndo akashuka kwa madiba!.. Hilo la rangi wengi ndo wameshajazana upuuzi tupu!
 
Alivunjika pua baada ya kuanguka,kuna story nyingi za uwongo kuhusu MJ na wavivu wa hata ku google mnatembea nazo hivyo hivyo,MJ alikua na ugonjwa wa ngozi na aliwahi kuungua moto akitengeneza tangazo la Pepsi,so kuwa mweupe ni sehemu ya madhara ya huo ugonjwa
Sawa ndugu yake Michael Jackson
 
Back
Top Bottom