Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,365
- 100,406
Hapana SIRI YA SIFURI mwandishi alikuwa Mzanzibari jina limenitoka (sio Shafi).......character alikuwa INSPECTOR NAJUUM
rip bila shaka huu msiba ni kazi ya mungu, madakatari waliokuwa kwenye mgomo hawahusiki
Duh, nyota nyingine imezima! hadi nimemkumbuka Agolo Anduru!
Poleni wafiwa!
Poleni wote jamani alini~Insipire saaaana jamani PUMZIKA KWA AMANI Faraj Katalambula...
Hivi Kezilahabi aliyetunga ROSA MISTIKA...yu wapi? Nakumbuka kipande cha Hadithi yake " Tulikuwa tukisikiliza NEGRO SUCESS NA MATONDO YA BEYA"
RIP Katalmbula;
Nakumbuka characters wake wa fillm Tanzania akina Unyeke, Tojo, Fambo n.k
Poleni sana wafiwa, wana Tabora, pamoja na watanzania wenzangu walio ktk tasnia ya uandishi wa vitabu na riwaya!
Nakumbuka sana kitabu cha Faraji H. Katalambula: "Simu ya Kifo" pia Filamu ya "simu ya kifo" iliyotokana na Kitabu husika.
Ktk filamu hiyo Mzee Kipara alicheza kama Inspecta Wingo.
RIP Faraji H. Katalambula
FAMBO wa riwaya ya SIMU YA KIFO! Ilikuwa ni kifupisho cha Francis Andrew Mbozia..
R.I.P. Mzee Katalambula
daaah kweli umenikumbusha hiyo riwaya, simu ya kifo, ama kwelim alikua mahiri , RIP KATALAMBULA
RIP bila shaka huu msiba ni Kazi ya Mungu, Madakatari waliokuwa kwenye Mgomo hawahusiki