Mzee Falijara: Walimu ni watu wadogo sana katika Nchi

Tena hawana umuhimu ktk serikali ya JK. We ngoja iwatimue. (ila mimi nafsi yangu naelewa bila hao nisingekuwa mtalaam leo).
 
CCMabwapande imejaa vilaza kweli kweli 2015 hii aibu itutoke jamani. Mdharau mwalimu lazima atadharau mama yake aliyemzaa shame!! Mabwepande party Shame vilaza!!
 
Nililiona kosa kwa upande star tv, walioalikwa hasa kwa studio za dsm hawakuwa watu sahihi kulisemea suala hili, kwa kuwa hawajui hata kiini cha mgogoro. Ingekuwa vema kuwashirikisha toka cwt na serikali kwa upande mwingine. Kuwaweka watu wasiojua a wala b ndiko kulikopelekea kuchafuka hali ya hewa. Unamweka layman kama mzee Farjala aongelee mgogoro ya ualimu, does it make sense?
 
Na wasiwasi na shule yake,yani mpaka leo anadhani mwalimu aliyegoma yupo nyumbani anaweza kukamatwa na ,polisi kweli tutaona mengi awamu hii km hawa ndio washauri wa serikali kazi ipooooo !
 

Nakuunga mkono,nadhani umefika wakati walimu wajitathmini na kuachana na vijisent vinavyopatikana kwenye shughuli km sensa,uchaguzi nk ndipo kada hii itathaminiwa,tulipofikia kada hii inaonekana ina dhiki hivyo watawala hufanya wanavyotaka wakiamini hawana ujanja,ebu wajaribu tuone
 
Ujumbe umewafikia walimu....wasimame...waweze kuthibitishwa kuwa wao sio watu wadogo....ila njaa zao zitawapelekea waache mshikamano.

Nafurahi kuona Mgomo ulioandaliwa kipindi cha Likizo
 
Huyo mzee ni yup? au ni huyu wa Dodoma ambae hata Marin Hassan wa TBC huwa anamsifia sana kuwa ni kama mashuhur wa chama.? kama una picha yake hapo, niwekee nimtambue then nichangie vema zaid. Ila mpaka hapo amedhihilisha chama hakina wa2 makin na ndo kinaelekea shimon.
 
Sasa kama walimu ni watu wadogo sana kwenye hili taifa,watu wakubwa ndio akina nani? Hv tumefikia hatua ya kimatabaka kiasi hiki? Cha kuona professional yamwenzio sio chochote katika nchi?
 
kwa mawazo yako mwalimu akipokea mshahara wa milioni moja ,huo mkate ataununua bei gani?
Kama serikali ikubali madai hayo na kupandisha mishahara ujue utakua unaenda sokoni na gunia la noti kununua njegere.

umesomea uchumi wa wapi wewe,hebu tuwekee huo umbumbumbu wako hapa wa micro au macro econnomy.
 
huyo njaa inamsumbua mishipa imemtoka kupigania tumbo lake si mmoja wa wale wazee wanaoitwaga diomond hall
 
Hajui alisemalo,yeye aliye mkubwa sana ameifanyia nini nchi hii? na aliyempa yeye ukubwa nadhani alikosea sana.WAKATI WA SHIDA NA MITIHANI NCHI INAHITAJI WATU WENYE HEKIMA NA BUSARA KUIONGOZA NCHI IVUKE SALAMA KWENYE MITIHANI YA AINA HIYO.
 
huyo mzee ana laana ya mwalimu nyerere ajui rais wa kwanza alikuwa mwalimu nadhani huyu mzee ni kilaza hajaenda shule hajui thamani ya mwalimu anaishi kwa propaganda huyu dawa yake kuchoma moto kibanda chake ndipo atatia akili
 
huyu jamaa ni mpumbumbavu, mjinga na kunauwezekano hata familia yake hajui haihudumia vizuri. kama tuna watu kama hawa kwa nini Mungu asimpige hata ugonjwa afariki ili atoe uchizi wake
 
Hata mimi nimemsikia mzee hana kitu kichwani,nilivyomsoma mimi alikuwa anatafuta ugali kwa nguvu, anatoa amri ya kuwakamata wanafunzi na walimu kama nani. hii nchi imechanganyikiwa kwani kila mtu anaweza kutoa amri ya kukama mtu.
 
Ujumbe umewafikia walimu....wasimame...waweze kuthibitishwa kuwa wao sio watu wadogo....ila njaa zao zitawapelekea waache mshikamano.

Nafurahi kuona Mgomo ulioandaliwa kipindi cha Likizo

Hakuna likizo mpaka sensa iishe mkuu!so shule hazijafungwa
 
Watu kama hao ni kama hawana akili wasubiri zamu yao ikifika kuna majuto!!! Kwani yeye na nani antoa amri kwa IGP zisizo na kichwa wala miguu????Hao ndio maghambas bwana!!!

 
aisee nikisoma ujumbe kama huu..natamani nimtafute huyo mzee nimshike koromeo..pumbavu yeye..
 
ndio makada wa CCM hao???!!!!
kweli watu wamekichoka hiki chama. unajua tatizo sasa hivi kila mwenye njaa zake na uwezo mdogo wa kufikiri anajiita kada wa CCM ili apewe pesa ya kumaliza njaa yake. na hii ni style mbaya sana ya CCM kulea watu wapuuzi simply tu kwa sababu wanajua kuropoka na kutoa vijembe uchwara
Yani Nyerere angeamka leo akute madudu yanayoendelea kwenye chama chake alichokiasisi kwa ajili ya wanyonge angekufa tena hapo hapo kwa pressure.
Mungu atunusuru na mchwa hawa wenye tamaa mbaya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…