Mzee Falijara: Walimu ni watu wadogo sana katika Nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee Falijara: Walimu ni watu wadogo sana katika Nchi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngaliba Dume, Aug 1, 2012.

 1. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Katika kipindi cha tuongee asubuhi,

  Mzee Falijara kada wa CCM akiwa na Naibu katibu Mkuu Wizara ya Elimu ameamuru jeshi la polisi kukamata na kuwatia ndani Walimu wote wanaogoma.

  Ameenda mbali na kusema Walimu ni watu wadogo sana katika nchi hii na wanatumiwa ili kuyumbisha Serikali ya Awamu ya Nne.

  Amemsisitiza IGP Mwema kuwapa amri makamanda wote ya kuwakamata Walimu wote wanaoendelea kugoma.

  Source: Star Tv
   
 2. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Huwa anashiriki mijadala kwenye Luninga,especially Star tv. Mara kadhaa anatoaga maoni as if ni amri,WTF..! Who is this morony? Leo anafoka '" Ooh naipongeza serikal ya awamu ya nne,kwanza walimu ni watu wadogo sana...namwambia IGP Mwema kamata wote weka ndani,pia hao watoto wanaoandamana kamata weka ndani..Rais si wakuchezewa..bla bla...
   
 3. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  kama kweli amesema hivyo basi nitaamini watawala wanahitaji kitu kikubwa zaidi ya mgomo ili wabadilike.
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Atasemaje sasa na anategemea hisani za chama chake ili aishi vizuri siku zake zilizosalia!!?
   
 5. e

  emalau JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  he is simply out of touch!
   
 6. sister

  sister JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,028
  Likes Received: 3,935
  Trophy Points: 280
  kiukweli walimu wanadhalaurika sana katika hii nchi, ........kwani hayo madai yao serikali imesema ni ya uongo mpaka waseme wanatumiwa ili kuyumbisha serikali ya awamu ya nne.

  hizi dhalau za serikali ndo zinafanya wasifanye maamuzi sahihi katika kipindi husika.
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Kwa kuwa yeye hakusoma basi walimu ni wabaya, hebu mfasirieni hii article ya ILO:

  Respect for freedom of association around the world is a fundamental and unavoidable requirement for the International Labour Organization because of its most essential structural characteristic, namely tripartism, and the important responsibilities based on the Constitution and ILO instruments that employers' and workers' organizations are called upon to exercise within the Organization itself as well as within the different member States.


  The new ILO Declaration on fundamental principles and rights at work adopted by the International Labour Conference in 1998, " …declares that all Members, even if they have not ratified the Conventions in question, have an obligation, arising from the very fact of membership in the Organization, to respect, to promote and to realize, in good faith and in accordance with the Constitution,the principles concerning the fundamental rights…", which include freedom of association.


  Without freedom of association or, in other words, without employers' and workers' organizations that are autonomous, independent,representative and endowed with the necessary rights and guarantees for the furtherance and defence of the rights of their members and the advancement of the common welfare, the principle of tripartism would be impaired, if not completely stripped of all meaning, and chances for greater social justice would be seriously prejudiced.


  As freedom of association is one of the principles safeguarding peace and social justice, it is entirely understandable, on the one hand, that the ILO has adopted a series of Conventions, Recommendations and resolutions which form the most important international source on this subject, and, on the other hand, that in addition to the general supervisory machinery, in particular the Committee of Experts on the Application of Conventions and Recommendations, a special procedure has been created for the effective protection of trade union rights ; this special procedure was entrusted to the Fact-Finding and Conciliation Commission on Freedom of Association and the Committee on Freedom of Association.
   
 8. D

  DCM Senior Member

  #8
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 165
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Yeye alifundishwa na nani?Hiyo ni dalili kwamba kwa ana upeo mdogo sana na hafikirii kabla hajaongea kitu.Nadhani mtu unatakiwa kufikiria impact ya kitu utakachosema au kufanya kabla ya kuamua kusema au kukifanya,kwani ni dalili ya kutumia masaburi na sio ubongo.
  Inakera sana!!!
   
 9. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hata mimi nimeudhika sana na huyu kibaraka wa ccm kuongea kauli mbovu kama hii.
   
 10. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Unahoja ya msingi hapa kuwa maoni yake, hasa pale anaposema kuwa walimu ni watu wadogo sana ni maoni mfu, nadhani hapa anamtaja rais bila kujua wajibu wa rais kuwa anamjali kila raia kwa viwango sawa bila kujali kuwa huyu raia ni jenerali au ni mwalimu wa vidudu. But, hukupaswa kuanza tittle na abusive language. Tambua kuwa jukwaa hili hushirikisha hata teenagers or below. Yuo may need to go back to moral ethics.
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa.......still at ILO:

  In discussing this matter, reference should be made at the outset to Article 10 of Convention No. 87 which, for the purposes of the Convention, defines worker organizations as any organization "for furthering and defending the interests of workers".

  This definition is clearly of fundamental importance not only in that it sets down guidelines for differentiating such organizations from those of other types, but also because it specifies the purpose of such organizations is for " furthering and defending the interests of workers" - thereby demarcating the boundaries within which the rights and guarantees recognized by the Convention are applicable, and consequently protected in so far as they achieve or seek to achieve the stated objectives.


  The nature of the demands pursued through strike action may be categorized as being occupational (seeking to guarantee or improve workers' working or living conditions), trade union (seeking to guarantee or develop the rights of trade union organizations and their leaders), or political.

  The two former categories do not give rise to any particular problems as from the outset the Committee on Freedom of Association has made clear decisions stating that they are legitimate.

  However, within the three categories of demand specified, a distinction should be made as to whether or not they directly and immediately affect the workers who call the strike. This introduces the issue of the political strike and the sympathy strike.

  It should at once be noted that the Committee on Freedom of Association and the Committee of Experts have rejected the notion that the right to strike should be confined to industrial disputes that are likely to be resolved through the signing of a collective agreement.
   
 12. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kweli nchi hii vituko haviishi,ngoja nitulie nisije nikajiharibia siku yangu bure
   
 13. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Moja ya sababu kubwa inayochangia kurudisha nyuma maendeleo yetu, ni kwa watawala kudharau elimu na walimu wetu. Katika nchi hii, profession yoyote si kitu mbele ya mwanasiasa. katika nchi zilizoendelea, ukimuuliza mtoto unataka kuwa nani? Atakujibu kuwa anataka kuja kuwa mwalimu.

  Wenzetu waalimu ni watu wa muhimu sana katika makuzi na kuelimisha jamii. Watoto, wazazi na hata serikali wanawapa heshima yao. Pia walimu wanamaslahi mazuri yanayowapa motisha, na mara nyingi wazazi huwa wanawapa hata zawadi waalimu wanaopendwa na watoto wao na kuona jinsi wanavyowaelimisha wototo wao.

  Hapa kwetu miaka ya zamani ilikuwa hivyo, nakumbuka kijijini kwetu walimu, wauguzi na viongozi waliheshimika sana. Waalimu walikuwa wanasikilizwa na walikuwa wakishauri jamii mambo mbalimbali. Ila bado hadi leo ushawishi wao ni mkubwa hasa huko vijijini.

  Sasa hawa wanasiasa wanaowabeza leo, wasishangae wakiona waalimu wakileta mapinduzi kwa kuwaambia wananchi hasa vijijini kuwa serikali yao haina nia njema ya kuwaletea maendeleo na kuwaelekeza cha kufanya ili kuiondoa madarakani. Mara nyingi sisi hasa waafrika tumekuwa na ulevi wa madaraka na kuamini mambo yasiyo halisi.

  Inashangaza kuona kuwa, badala ya serikali kushughulikia matatizo husika, wenyewe wanataka kujiambinisha kuwa waalimu wanatumika kisiasa. Hivi kweli mtu akidai haki yake aliyoikosa miaka zaidi ya kumi, vilevile akiwa kwenye lindi la matatizo ya kupambana na maisha kwa ugumu wake. Leo unakuja kumwambia yeye si kitu na anatumika?

  Bila ya hawa waalimu tusingekuwa na Madaktari, Maengineer, Wanasheria, wahasibu, wachumi, na wataalamu wengine wote. Huyu Mzee atakuwa ameongeza hasira ya waalimu dhidi ya serikali. Walifanikiwa kupandikiza chuki kwa madaktari dhidi ya wananchi, ila kwa hili la waalimu ni budi serikali ibadili namna ya kumaliza mgogoro huu uliodumu kwa muda mrefu sana.
   
 14. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Sasa kama hakusoma na anakula kwa jeuri ya mdomo wake CCM sishangai kwa kauli zake.
   
 15. D

  Dina JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Watu wengine hata kutumia neno 'mzee' kabla ya majina yao unajionea taabu tu!
   
 16. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  Mjinga mwingine akionyesha ujinga wake.
   
 17. S

  SANING'O LOSHILU Senior Member

  #17
  Aug 1, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijui nao star tv kama waliishiwa mawazo wakamwita mpumbavu kama huyo kuja kutoa hizo pumba zake studio hivi hakujua watz walikuwa wanamskiliza au alifikiri anaongelea kijiweni?
   
 18. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #18
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  ni katika utawala huu wa JK walimu walitandikwa bakora, sishangai.
   
 19. C

  CHIEF MVUNGI Senior Member

  #19
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa walimu ndo hawa wanatumiwa kwenye sherehe zao zakizandiki kama mwenge,uhuru,mapinduzi,muungano n.k siunajua cku hizi watu hawaendi kwenye upuuzi huo, kisha leo hii wanawazarau hiyo haitoshi walimu wengi ndo watakua waandika sensa mimi nataka wagome na siku hiyo, SIIPENDI NCHI YANGU LABDA HADI HAPO CCM WATAPOIACHIA
   
 20. Pangaea

  Pangaea JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 14, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyu mzee alikuwa akiropoka live na inaonekana hata mtangazaji ameshindwa kuongoza kipinndi. Huu ni udhaifu ni lazima Star Tv warekebishe tatizo hili. Hata Naibu katibu mkuu wizara ya elimu hakuwa anajibu maswali ya mwandishi badala yake alilenga kujenga hoja zake kama apendavyo.
  Ushauri. Ni vema washiriki wa vipindi wawaheshimu waongoza vipidi.
   
Loading...