kinyama nje
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 1,839
- 2,461
Huyo Alisha kuwa pm hawezi kufanya mambo ya kijinga atachekesha muda wwote anaweza rudi serikalini inategemea na deleva ataekuwepo
Uchonganishi in the actionMambo mengi yamesemwa juu ya utashi wa Lowasa kufanya siasa za upinzani tangu alipoondoka CCM.
Kuna wakati wanamabadiliko wanakuwa na mashaka kwa namna unavyoshiriki katika siasa za upinzani hasa Baada ya uchaguzi mkuu. Kulikuwa na tetesi huwenda ukarudi ulikotoka.
Ila yote hayo unayonafasi ya kuthibitisha uwezo wako wa kisiasa hasa kuwapigania Chama na viongozi wakuu waliosekwa lumande Leo .
M/kiti, Katibu na wabunge wako lumande sasa wewe uko uraiani basi chukua nafasi hii kufuta tetesi zote.
Mambo mengi yamesemwa juu ya utashi wa Lowasa kufanya siasa za upinzani tangu alipoondoka CCM.
Kuna wakati wanamabadiliko wanakuwa na mashaka kwa namna unavyoshiriki katika siasa za upinzani hasa Baada ya uchaguzi mkuu. Kulikuwa na tetesi huwenda ukarudi ulikotoka.
Ila yote hayo unayonafasi ya kuthibitisha uwezo wako wa kisiasa hasa kuwapigania Chama na viongozi wakuu waliosekwa lumande Leo .
M/kiti, Katibu na wabunge wako lumande sasa wewe uko uraiani basi chukua nafasi hii kufuta tetesi zote.
Ukiona mpinzani amekaa kimya wakati huu ujue ni mfanyabiashara na anahofia biashara zake.Ni kweli ukiwa mpinzani kisha una biashara zako ujue lazima TRA watatumwa kukubambikia balaa lolote ili wakukomoe pengine Lowasa anaogopa Hilo,kumbuka mbowe amevunjiwa club yake ya miaka mingi pale mjini utawala huu kwa kukomoa watu unaongoza Afrika nzima kwa sasa, kwa sasa yafaa wapatikane wanasiasa ambao watakuwa hawana mali, biashara zozote Tanzania na familia zao ziishi mbali ikibidi hata Ulaya na America , hao ndiyo wataweza kupambana kwa ujasiri mkubwa ikibidi hata kwa Damu kumwagika kumtoa Mkoloni mweusi toka kolomije na chato.
Sasa ana haja gani ya kufanya maandamano wkt ni tajiri hapa nchini ana magorofa,mashule,radio,laundry service co.,Ranchi ya mifugo,ardhi kibao,pensheni ya uwaziri mkuu, kila takataka anayo.Mzee Lowassa alishawaonya kina Mbowe juu ya kuendekeza uanaharakati badala ya kufanya siasa zenye tija kwa Taifa.
Mzee hapendi mambo ya kujibishana na mamlaka, hapendi na hastahili usumbufu wa kupandishwa kwenye gari za polisi.
Ni mstaarabu anayejifahamu vyema, hivyo simuoni akiwa karibu na matukio ya sasa. Kuna somo ambalo wanaharakati wanatakiwa kulisoma haswa katika kipindi hiki.