Mzee Edward Lowassa thibitisha we ni mpinzani wa kweli

Lordita

Member
May 11, 2017
16
16
Mambo mengi yamesemwa juu ya utashi wa Lowasa kufanya siasa za upinzani tangu alipoondoka CCM.

Kuna wakati wanamabadiliko wanakuwa na mashaka kwa namna unavyoshiriki katika siasa za upinzani hasa Baada ya uchaguzi mkuu. Kulikuwa na tetesi huwenda ukarudi ulikotoka.

Ila yote hayo unayonafasi ya kuthibitisha uwezo wako wa kisiasa hasa kuwapigania Chama na viongozi wakuu waliosekwa lumande Leo .

M/kiti, Katibu na wabunge wako lumande sasa wewe uko uraiani basi chukua nafasi hii kufuta tetesi zote.
 
Siasa za upinzani kwasasa nchini zinahitaji wanaume kwelikweli,watu wasio na biashara yoyote. Zinahitaji watu wasiorudi nyuma,watu wanaochukua haki zao na sio kungoja kupewa.

Zinahitaji watu kama akina Heche,
Lowassa angeweza kuwa mpinzani katika siasa za kistaarabu kidogo enzi zile za Jk!

Sio mtu wa kumtegemea!
 
alishanunua chama anafanya anavotaka
thats why ata alivoenda ikulu wakina mbowe walimuomba tu ili waonekane kama wanamkemea vile kumbe wanamgwaya.

wanajua wakimkera arudi ccm ndio utakua mwisho wao
 
Siasa za upinzani kwasasa nchini zinahitaji wanaume kwelikweli,watu wasio na biashara yoyote. Zinahitaji watu wasiorudi nyuma,watu wanaochukua haki zao na sio kungoja kupewa.

Zinahitaji watu kama akina Heche,
Lowassa angeweza kuwa mpinzani katika siasa za kistaarabu kidogo enzi zile za Jk!

Sio mtu wa kumtegemea!
Ni kweli ukiwa mpinzani kisha una biashara zako ujue lazima TRA watatumwa kukubambikia balaa lolote ili wakukomoe pengine Lowasa anaogopa Hilo,kumbuka mbowe amevunjiwa club yake ya miaka mingi pale mjini utawala huu kwa kukomoa watu unaongoza Afrika nzima kwa sasa, kwa sasa yafaa wapatikane wanasiasa ambao watakuwa hawana mali, biashara zozote Tanzania na familia zao ziishi mbali ikibidi hata Ulaya na America , hao ndiyo wataweza kupambana kwa ujasiri mkubwa ikibidi hata kwa Damu kumwagika kumtoa Mkoloni mweusi toka kolomije na chato.
 
alishanunua chama anafanya anavotaka
thats why ata alivoenda ikulu wakina mbowe walimuomba tu ili waonekane kama wanamkemea vile kumbe wanamgwaya.

wanajua wakimkera arudi ccm ndio utakua mwisho wao
Lowasa hakununua chama zile zilikuwa propaganda za CCM tu, kinachomfanya Lowasa kuwa muoga ni mbinu za magufuli kuwakomoa watu kupitia TRA pia Lowasa yeye alizoea siasa za kistaarabu hapendi ubabe ubabe na ukorofi. Anaumia wenzake wanavyofanyiwa lakini nadhani atakuwa busy na mawakili kuhakikisha kuwa wanatolewa jela haraka.
 
Hahah lowassa hajawahi kua moto wala mpinzani kabisaa.
Lowasa ni mpinzani mstaarabu pia ukumbuke Lowasa si Mbunge wala Mwenyekiti au katibu mkuu ni mjumbe wa mkutano mkuu wa chadema anasaidia chama kadri ya uwezo wake na hata leo kahangaika sana wapate Dhanana lakini ikawa vigumu.
 
Mmmh Mkuu msirudie makosa
Lowassa ndumilakuwili hamjajua mpaka leo! Apumzike aachane na siasa
Wenzie wamewekwa ndani yupo kimya
Hafai period!
Upinzani ijipange upya
Acha ushamba wako wa kolomije Lowasa hakuwepo kwenye maandamano pia kumbuka Lowasa sio Mwenyekiti wa chama wala katibu mkuu wala Mbunge na kumbuka magufuli Bokasa na Naibu Rais Maliyamungu Bashite lengo lao ni kuwakomoa viongozi wakuu wakiwa na nia ya kuangamiza upinzani wapate kurejesha mfumo wa chama kimoja CCM pekee itawale milele na milele kama China.
 
Back
Top Bottom