MNFUMAKOLE
JF-Expert Member
- Nov 14, 2014
- 1,400
- 1,706
Akiwa Wapi,Dr. Slaa inaonekana anamkubali sana Lissu. na kama kweli yeye husimamia ukweli na kwa kuwa Lowasa hayupo tena CDM.. basi mzee atangaze kumuunga mkono Lissu
Dkt. Slaa nakusalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu kristo. naami uko mzima na unaendelea vizuri na uwakilishi wa nchi yetu huko uliko,
Bila shaka unajua na unafatilia jinsi kampeni zinavyoendelea huku!!
Natamani Sana kusikia au kusoma maoni yako kuhusu kampeni zinavyoenda huku! Ujengaji wako wa hoja ndio ulionishawishi hadi nikawa mpenzi wa siasa!
Natamani Sana kusikia maoni yako , kuhusu kijana wako Tundu Lisu!
Unasemaje kuhusu familia ya Mwl kumkaribisha Tundu Lisu nyumbani kwao?? unalisemeaje hili?
Tafadhali mzee wangu, sema japo kidogo! tusahau ya mwaka 2015! hata mimi sikufurahi jinsi ilivyotokea!
Kwani wewe tayari ulishakuwa funguo za kufungulia kufuli.
Alishasemaga kz ya urais ngumu mno na alijaribu tu wakamsukumizia Mzee baba Tumia nafasi hii Mwamchie jamaa we kapunzike na ukaleee familiaMagufuli hajajiandaa kisaikolojia matokeo yakiwa mabaya kwake. Huu urais anajiona kama alizaliwa nao na maamuzi yake tu ndiyo ya sikilizwe.
Ukisha kuwa upande huo aliopo, ni lazima ujitoe ufahamu. Nakumbuka, hakuonyesha masikitiko kwa tukio la kupigwa risasi Lissu. Alidai ni tukio la kawaida, na yeye Lissu sio wa kwanza.Dr. Slaa inaonekana anamkubali sana Lissu. na kama kweli yeye husimamia ukweli na kwa kuwa Lowasa hayupo tena CDM.. basi mzee atangaze kumuunga mkono Lissu
Magufuli hajajiandaa kisaikolojia matokeo yakiwa mabaya kwake. Huu urais anajiona kama alizaliwa nao na maamuzi yake tu ndiyo ya sikilizwe.
Kwa taarifa yako tu...Tundu Lissu 'amekaribishwa' na Mmoja wa Watoto wa Hayati Mwalimu Nyerere aitwae Madaraka na hakukaribishwa na Familia yake. Msipotoshe!!!
Kwani Madaraka sio mwanafamilia?Tundu Lissu 'amekaribishwa' na Mmoja wa Watoto wa Hayati Mwalimu Nyerere aitwae Madaraka na hakukaribishwa na Familia yake. Msipotoshe!!!
Kwa taarifa yako tu...
Madaraka ndio msimamiz wa familia ile. So makongoro wala yule dada.
Mkuu wa kaya n Madaraka.
Kwa kukuongezea, Madaraka ndiye aliyemuomba mama yake, Maria aende kweny mkutano ambao awali alikataa katukatu.
Acha Dawa Iwaingie
Kwani Madaraka sio mwanafamilia?
Ngoma ya wajinga huchezwa na wapumbavuHuna unachokijua 'Mpuuzi' Wewe na Siku zingine uwe 'Unanyamza' ili wenye 'Vinasaba' na hiyo Familia na Ukoo tukuambie ili nawe ufaidike sawa?
Uwe unauficha ujinga wako wakati mwingine! Ile kujifanya unajua kila kitu, wakati mwingine unajiaibisha bure!Hivi Familia ya Hayati Mwalimu Nyerere na Mwanafamilia ni Vitu viwili vilivyo sawa kama ukivipima vyote katika Medani za Kiitifaki? Nimekudharau!
Et anajiita mweny unasaba na familia hiyoUwe unauficha ujinga wako wakati mwingine! Ile kujifanya unajua kila kitu, wakati mwingine unajiaibisha bure!
Achana na mtusi huyoo,kwanza hapigi kuraUwe unauficha ujinga wako wakati mwingine! Ile kujifanya unajua kila kitu, wakati mwingine unajiaibisha bure!