ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,052
- 6,197
Ndio pasiwe mungumtu na walio madarakani wawe chini ya sheria ili watende haki na wanapovuruga katiba wawajibishwe.So shida yako ni kupunguza madaraka ya rais tu?!
Ndio pasiwe mungumtu na walio madarakani wawe chini ya sheria ili watende haki na wanapovuruga katiba wawajibishwe.So shida yako ni kupunguza madaraka ya rais tu?!
Tanzania haiwezekani kuongozwa na rais asiye na nguvu,hata Sasa rais akifanya ya hovyo Pana mwanya wa kumuwajibisha,Ila wanaizunguka sheriaNdio pasiwe mungumtu na walio madarakani wawe chini ya sheria ili watende haki na wanapovuruga katiba wawajibishwe.
Ndo wenzio twahitaji katiba mpya/boraTanzania haiwezekani kuongozwa na rais asiye na nguvu,hata Sasa rais akifanya ya hovyo Pana mwanya wa kumuwajibisha,Ila wanaizunguka sheria
Nyinyi wanasiasa mnachotaka ni tume huru ya uchaguzi tu,hakuna jingine,uchu tu wa madaraka unawasumbuaNdo wenzio twahitaji katiba mpya/bora