Mzee Cleopa Msuya: Suala la Katiba Mpya haliepukiki kwani Katiba siyo Jiwe au Amri ya Mungu

Ndio pasiwe mungumtu na walio madarakani wawe chini ya sheria ili watende haki na wanapovuruga katiba wawajibishwe.
Tanzania haiwezekani kuongozwa na rais asiye na nguvu,hata Sasa rais akifanya ya hovyo Pana mwanya wa kumuwajibisha,Ila wanaizunguka sheria
 
Back
Top Bottom