PostGE2025 Mzee Butiku: Tukae tuzungumze bila fujo vijana watuamini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwa umri wako tulia ndani umeze vidonge vya presha hii ligi huiwezi.
"Ligi" ya kuua waTanzania ni wazi siiwezi, ndiyo maana mfuga nguruwe na nguruwe wake wote italazimu wateketezwe.
Hili pekee ndilo nguruwe mfugwaji kama wewe ndilo unalotakiwa kulifahamu.
 
Mmeambiwa hizo vurugu zenu za wizi na ubaribifu wa mali mnazotaka kuzifanya mnakaribishwa uwanja mweupe mtapokelewa vizuri, kwahiyo jitokeze.
 
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Mzee Joseph Butiku, amesema matukio ya vurugu, uharibifu wa mali na vifo vilivyoripotiwa wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, yameitumbukiza Tanzania katika hofu na kupoteza misingi ya amani ambayo taifa limeijenga kwa zaidi ya miaka 60.

Akizungumza na wanahabari kando ya kongamano la wazee lililoandaliwa na Taasisi hiyo jijini Dodoma tarehe 2 Desemba, 2025 likizungumzia Haki na Amani ya Tanzania kuelekea tarehe 9 Desemba 2025, Mzee Butiku amesema tangu Disemba 1961 hadi kabla ya siku ya uchaguzi wa 2025, Tanzania imekuwa ikijivunia misingi ya usawa, haki, heshima, upendo, kutobaguana na kazi kwa faida ya wote, ambayo imewezesha taifa kuishi kwa umoja na amani.

Hata hivyo, amesema uchaguzi wa mwaka huu umeibua changamoto mpya baada ya maandamano ya vijana na baadhi ya watu wazima ‘kubadilika kutoka kuwasilisha hoja hadi kuwa ghasia’, na kusababisha vifo, uharibifu wa mali na kusambaratika kwa utulivu wa umma.

Amesema vyombo vya ulinzi na usalama ‘vilijaribu kulinda amani’, lakini mazingira yaligeuka kuwa ya mapambano yaliyosababisha madhara makubwa kwa wananchi, ikiwemo watu kufungiwa majumbani bila chakula na maji, huku wengine wakijeruhiwa au kuuawa.

“Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama katika kujaribu kuyazuia na kulinda kwamba amani tuliyokuwa nayo zamani inaendelea, ni kama walitoka wakaenda kupambana na wale waandamanaji, kwahiyo kukatokea vifo, kukatokea uharibifu wa mali nyingi- zingine kwa ajali zingine kwa makusudi”, ameeleza Butiku na kuongeza,

Amesema wazee kupitia Taasisi ya Mwalimu Nyerere wameamua kuzungumza hadharani ili kuelekeza tahadhari kwa vijana wanaoendelea kuandaa maandamano mengine, ikiwemo yale yanayosadikika kutarajiwa Desemba 9. Amesema wazee wanaamini bado kuna uwezo mkubwa wa taifa kukaa pamoja, kujadiliana na kupata maridhiano bila fujo, vurugu au uharibifu wa mali.

“Tumepoteza ndugu zetu, wamefariki hatujajua wako wapi, wengine walitekwa, hatujajua kumetokea nini, na yako mazungumzo kutokana na makundi yaleyale ya vijana kwamba tarehe tisa Desemba maandamano yapo, tutake tusitake”, ameeleza Mzee Butiku

Chanzo: Jambo TV

Mzee kashamuuza Polepole leo nani atamuamini
 
Tungemsikiliza kama angekuwa mkweli akamwambia samuya sio rais maana hakuchaguliwa hizo porojo nyingine hatuzitaki
 
Mmeambiwa hizo vurugu zenu za wizi na ubaribifu wa mali mnazotaka kuzifanya mnakaribishwa uwanja mweupe mtapokelewa vizuri, kwahiyo jitokeze.
Hiyo ni lugha ya hofu kubwa sana kutoka kwa huyo mfugaji wako Samia Suluhu hassan, kama bado huielewi wewe kama nguruwe.

huyu muuaji wa waTanzania ndio hivyo tena, atawaacha nguruwe bila makombo waliyozoea kupata kutoka kwake. Hilo ndilo linalokuleta hapa wewe, kujuwa hutakuwa na makombo tena.
 
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Mzee Joseph Butiku, amesema matukio ya vurugu, uharibifu wa mali na vifo vilivyoripotiwa wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, yameitumbukiza Tanzania katika hofu na kupoteza misingi ya amani ambayo taifa limeijenga kwa zaidi ya miaka 60.

Akizungumza na wanahabari kando ya kongamano la wazee lililoandaliwa na Taasisi hiyo jijini Dodoma tarehe 2 Desemba, 2025 likizungumzia Haki na Amani ya Tanzania kuelekea tarehe 9 Desemba 2025, Mzee Butiku amesema tangu Disemba 1961 hadi kabla ya siku ya uchaguzi wa 2025, Tanzania imekuwa ikijivunia misingi ya usawa, haki, heshima, upendo, kutobaguana na kazi kwa faida ya wote, ambayo imewezesha taifa kuishi kwa umoja na amani.

Hata hivyo, amesema uchaguzi wa mwaka huu umeibua changamoto mpya baada ya maandamano ya vijana na baadhi ya watu wazima ‘kubadilika kutoka kuwasilisha hoja hadi kuwa ghasia’, na kusababisha vifo, uharibifu wa mali na kusambaratika kwa utulivu wa umma.

Amesema vyombo vya ulinzi na usalama ‘vilijaribu kulinda amani’, lakini mazingira yaligeuka kuwa ya mapambano yaliyosababisha madhara makubwa kwa wananchi, ikiwemo watu kufungiwa majumbani bila chakula na maji, huku wengine wakijeruhiwa au kuuawa.

“Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama katika kujaribu kuyazuia na kulinda kwamba amani tuliyokuwa nayo zamani inaendelea, ni kama walitoka wakaenda kupambana na wale waandamanaji, kwahiyo kukatokea vifo, kukatokea uharibifu wa mali nyingi- zingine kwa ajali zingine kwa makusudi”, ameeleza Butiku na kuongeza,

Amesema wazee kupitia Taasisi ya Mwalimu Nyerere wameamua kuzungumza hadharani ili kuelekeza tahadhari kwa vijana wanaoendelea kuandaa maandamano mengine, ikiwemo yale yanayosadikika kutarajiwa Desemba 9. Amesema wazee wanaamini bado kuna uwezo mkubwa wa taifa kukaa pamoja, kujadiliana na kupata maridhiano bila fujo, vurugu au uharibifu wa mali.

“Tumepoteza ndugu zetu, wamefariki hatujajua wako wapi, wengine walitekwa, hatujajua kumetokea nini, na yako mazungumzo kutokana na makundi yaleyale ya vijana kwamba tarehe tisa Desemba maandamano yapo, tutake tusitake”, ameeleza Mzee Butiku

Chanzo: Jambo TV
Mzee baba ccm wameamua kuwekeza kwenye uchawa na mabavu,maongezi ni geresha kusogeza muda tu.
 
Wahalifu hawahesabiwi wanapewa haki yao ya kuuwawa hata wakiwa laki 5
Hapana mbona huwa tunaambiwa majambazi kadhaa huko wameuliwa na polisi? Wataje tu ili mjipongeze mmefanikiwa kuuwa wahalifu wangapi maana tunasikia na polisi waliuliwa nao haijatajwa idadi yao isije ikawa polisi ndio wameuliwa kuliko hao wahalifu.
 
Dalali Mzee ni hatari kuliko kijana Mpumbavu.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Mzee Joseph Butiku, amesema matukio ya vurugu, uharibifu wa mali na vifo vilivyoripotiwa wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, yameitumbukiza Tanzania katika hofu na kupoteza misingi ya amani ambayo taifa limeijenga kwa zaidi ya miaka 60.

Akizungumza na wanahabari kando ya kongamano la wazee lililoandaliwa na Taasisi hiyo jijini Dodoma tarehe 2 Desemba, 2025 likizungumzia Haki na Amani ya Tanzania kuelekea tarehe 9 Desemba 2025, Mzee Butiku amesema tangu Disemba 1961 hadi kabla ya siku ya uchaguzi wa 2025, Tanzania imekuwa ikijivunia misingi ya usawa, haki, heshima, upendo, kutobaguana na kazi kwa faida ya wote, ambayo imewezesha taifa kuishi kwa umoja na amani.

Hata hivyo, amesema uchaguzi wa mwaka huu umeibua changamoto mpya baada ya maandamano ya vijana na baadhi ya watu wazima ‘kubadilika kutoka kuwasilisha hoja hadi kuwa ghasia’, na kusababisha vifo, uharibifu wa mali na kusambaratika kwa utulivu wa umma.

Amesema vyombo vya ulinzi na usalama ‘vilijaribu kulinda amani’, lakini mazingira yaligeuka kuwa ya mapambano yaliyosababisha madhara makubwa kwa wananchi, ikiwemo watu kufungiwa majumbani bila chakula na maji, huku wengine wakijeruhiwa au kuuawa.

“Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama katika kujaribu kuyazuia na kulinda kwamba amani tuliyokuwa nayo zamani inaendelea, ni kama walitoka wakaenda kupambana na wale waandamanaji, kwahiyo kukatokea vifo, kukatokea uharibifu wa mali nyingi- zingine kwa ajali zingine kwa makusudi”, ameeleza Butiku na kuongeza,

Amesema wazee kupitia Taasisi ya Mwalimu Nyerere wameamua kuzungumza hadharani ili kuelekeza tahadhari kwa vijana wanaoendelea kuandaa maandamano mengine, ikiwemo yale yanayosadikika kutarajiwa Desemba 9. Amesema wazee wanaamini bado kuna uwezo mkubwa wa taifa kukaa pamoja, kujadiliana na kupata maridhiano bila fujo, vurugu au uharibifu wa mali.

“Tumepoteza ndugu zetu, wamefariki hatujajua wako wapi, wengine walitekwa, hatujajua kumetokea nini, na yako mazungumzo kutokana na makundi yaleyale ya vijana kwamba tarehe tisa Desemba maandamano yapo, tutake tusitake”, ameeleza Mzee Butiku

Chanzo: Jambo TV
 
Huyu mzee asipojiangalia ataharibu legacy yake hivi hivi wakati yeye na Warioba ndiyo walikuwa angalau ndiyo waliobaki kuwa kimbilio kwa ushauri.
 
..tatizo ni kufanya kwa kuchelewa.

..wazee wameruhusu utekaji, utesaji, na mauaji yaendelee kwa muda mrefu, mpaka sasa vijana wamepoteza imani nao, na wamepoteza pia na uvumilivu.
 
Mpumbavu huyu, wao si ndio wazee?

Watuaje vijana tunanjia zetu za kuzungumza.

Kuwasikiliza hawa mnapotezwa kabisa.
 
..tatizo ni kufanya kwa kuchelewa.

..wazee wameruhusu utekaji, utesaji, na mauaji yaendelee kwa muda mrefu, mpaka sasa vijana wamepoteza imani nao, na wamepoteza pia na uvumilivu.
Hapana, mkuu 'Joka'; huyu Butiku hata bila aibu anazungmza lugha ileile anayotumia Samia; na anategemea watu watamwelewa anachozungumza?.

Lakini pia naanza kudadisi huku Mara (Mkoa) nako kuna watu tofauti tofauti sana.
Nawafikiria Mwalimu Nyerre, Warioba na bila shaka wengine kadhaa katika kundi hilo; halafu unakuja tena kwenye watu kama Werema, Mafuru, Wasira, Bulemo (Abdallah), Msiba (wote wawili waliopata kuwa mashuhuri, akina Wambura Camillius; n.k., n.k..

Kuna mkang
Pamoja na kwamba huwa sipendi kurundika watu namna hii katika mafungu, lakini hili limenitatiza akili kidogo.anyiko mkubwa sana huko!
 
Back
Top Bottom