iamwangdamin
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,176
- 2,053
..unaota ndoto wewe, ccm ipi..kuna chama pale? wazee gani, wameshindwa kuona utaratibu kumpata mgombea wao kuwa batili, kitu gani wataona kwenye hii dunia..ccm kinatumiwa km kivuli lkn ni genge la wahalifu wamejivika sura ya dola!Wazee wa ccm kaeni muone kwa nini mambo haya yametokea mikononi mwenu kama chama.Lazima mtaona kuna principle fulani za msingi zimekiukwa na sasa zinabackfire.Mkiona ni kwa manufaa ya taifa ishauri serkali ijiudhuru na kuanzisha michakato inayotakiwa kwa ustawi wa Taifa.Sidhani kama maneno yataleta amani bila maamuzi magumu
kwamba polisi walienda kumtuliza huyu mtoto na siraha ya moto mzee kama hukujipanga ujanani kimaisha kaa kimya
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Mzee Joseph Butiku, amesema matukio ya vurugu, uharibifu wa mali na vifo vilivyoripotiwa wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, yameitumbukiza Tanzania katika hofu na kupoteza misingi ya amani ambayo taifa limeijenga kwa zaidi ya miaka 60.
Akizungumza na wanahabari kando ya kongamano la wazee lililoandaliwa na Taasisi hiyo jijini Dodoma tarehe 2 Desemba, 2025 likizungumzia Haki na Amani ya Tanzania kuelekea tarehe 9 Desemba 2025, Mzee Butiku amesema tangu Disemba 1961 hadi kabla ya siku ya uchaguzi wa 2025, Tanzania imekuwa ikijivunia misingi ya usawa, haki, heshima, upendo, kutobaguana na kazi kwa faida ya wote, ambayo imewezesha taifa kuishi kwa umoja na amani.
Hata hivyo, amesema uchaguzi wa mwaka huu umeibua changamoto mpya baada ya maandamano ya vijana na baadhi ya watu wazima ‘kubadilika kutoka kuwasilisha hoja hadi kuwa ghasia’, na kusababisha vifo, uharibifu wa mali na kusambaratika kwa utulivu wa umma.
Amesema vyombo vya ulinzi na usalama ‘vilijaribu kulinda amani’, lakini mazingira yaligeuka kuwa ya mapambano yaliyosababisha madhara makubwa kwa wananchi, ikiwemo watu kufungiwa majumbani bila chakula na maji, huku wengine wakijeruhiwa au kuuawa.
“Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama katika kujaribu kuyazuia na kulinda kwamba amani tuliyokuwa nayo zamani inaendelea, ni kama walitoka wakaenda kupambana na wale waandamanaji, kwahiyo kukatokea vifo, kukatokea uharibifu wa mali nyingi- zingine kwa ajali zingine kwa makusudi”, ameeleza Butiku na kuongeza,
Amesema wazee kupitia Taasisi ya Mwalimu Nyerere wameamua kuzungumza hadharani ili kuelekeza tahadhari kwa vijana wanaoendelea kuandaa maandamano mengine, ikiwemo yale yanayosadikika kutarajiwa Desemba 9. Amesema wazee wanaamini bado kuna uwezo mkubwa wa taifa kukaa pamoja, kujadiliana na kupata maridhiano bila fujo, vurugu au uharibifu wa mali.
“Tumepoteza ndugu zetu, wamefariki hatujajua wako wapi, wengine walitekwa, hatujajua kumetokea nini, na yako mazungumzo kutokana na makundi yaleyale ya vijana kwamba tarehe tisa Desemba maandamano yapo, tutake tusitake”, ameeleza Mzee Butiku
Chanzo: Jambo TV
Wahalifu hawahesabiwi wanapewa haki yao ya kuuwawa hata wakiwa laki 5Sasa mbona mnashindwa kutaja idadi ya vifo vya wahalifu mliowauwa?
Unaridhiana vipi na mtu ambaye hataki uwajibikaji?

Ni ajabu. Tangu watu waanze kutekwa hakuona. Uchaguzi wa kuchakachua hakuona. Mauaji ya watu ya kukusudia tarehe 29 hakuona. Leo anajitokeza anasema konyo konyo. Vibabu vingine vinazeeka badala ya kuwa na busara vinakuwa hasara. Pumbafu1Hivi kuna mtu mwenye hamu ya kusikiliza anachosema huyo mzee wa hovyo? 😳
Tutawatanguliza nguruwe mbele ili mitutu ya bunduki mnazofikiri zinawalinda ziishie kwa hao nguruwe kama wewe, kisha tunamkamata huyo mfugaji wako Samia Suluhu HassanHakuna kuzungumza na muhalifu, uwanja ni mweupe kama wanataka kuandamana watoke watapokelewa vizuri.
Wazee wenzie walikuwa wakipiga makofi jana watamfaa,sio die tunanaojitambuaHasikilizwi msaliti.
Akaongee na wazee wenzie waliokosa uzalendo na hekima
Kuna clip alionekana akiwahimiza vijana wawahoji viongozi wao bila woga, vijana walivyoanza kujitokeza kama Cpt Tesha akakausha na kuruka hadi mwezini, leo anakuja na gia ya matope sijui anamdanganya nani. Anaaibisha kundi la wazee nchi hii kama alivyo yule mwingine wa Msoga. Hovyo kabisa!.Ni ajabu. Tangu watu waanze kutekwa hakuona. Uchaguzi wa kuchakachua hakuona. Mauaji ya watu ya kukusudia tarehe 29 hakuona. Leo anajitokeza anasema konyo konyo. Vibabu vingine vinazeeka badala ya kuwa na busara vinakuwa hasara. Pumbafu1
Kwa umri wako tulia ndani umeze vidonge vya presha hii ligi huiwezi.Tutawatanguliza nguruwe mbele ili mitutu ya bunduki mnazofikiri zinawalinda ziishie kwa hao nguruwe kama wewe, kisha tunamkamata huyo mfugaji wako Samia Suluhu Hassan
This is the violent and serious allegation.