PostGE2025 Mzee Butiku: Rais ameshachaguliwa, hatukubali wanaosema aondoke; sio rais wa CCM, ni wa Tanzania

PostGE2025 Mzee Butiku: Rais ameshachaguliwa, hatukubali wanaosema aondoke; sio rais wa CCM, ni wa Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,499
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameishachaguliwa kihalali, hivyo hakuna msingi wa kudai aondoke madarakani, akisisitiza kuwa Rais huyo si wa Chama cha Mapinduzi (CCM) pekee bali ni Rais wa Watanzania wote.

Akizungumza katika maelezo yake, Butiku alisema jamii haina sababu ya kuogopa kumzungumzia Rais pale panapokuwa na hoja au changamoto, mradi mjadala huo uwe wa nia njema na kwa heshima kubwa.

"Sasa tatizo ni nini? Hatutaki kusema ni Rais? Rais ni mmoja wetu tu. Anaweza kuwa na tatizo lake, tulizungumze na aruhusu tuzungumze. Huwezi kuwa na baba ndani halafu hazungumzi, halafu panapokuwa na watu 20 anazungumza. Kwa hiyo Rais ni Rais wetu," amesema Butiku.

"Tunamzungumzia kama tunazungumza kwa nia njema na kwa heshima kubwa kabisa. Hatuzungumzi kumuondoa kwa sababu utaratibu wa kumuondoa upo. Ndiyo maana hatukubaliani na wanaosema aondoke kesho; hatukubali," ameongeza.

Akirejea falsafa ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Butiku amesema hata pale taifa linapofanya kosa katika uchaguzi wa kiongozi, suluhu si kuvunja misingi ya utawala, bali kurekebisha kwa utaratibu uliowekwa.

"Alishachaguliwa, na Baba wa Taifa alisema mkifanya kosa mkamchagua. Huyu hatujafanya kosa; yeye hana kosa, alichaguliwa kupitia chama. Kwa hiyo ni Rais wetu, siyo wa CCM, ni Rais wa Tanzania," amesema Butiku.

Kauli ya Butiku inakuja wakati kukiwa na mijadala mbalimbali ya kisiasa nchini, kutokana na matukio ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu ambao umeacha maumivu kwa raia kufuatia vifo vya watu wengi kabla, wakati na baada ya uchaguzi.

 
Binafsi huwa nikiwakaanga Hawa wazanaki huwa ninaonekana ninachuki na kabila la wazanaki!

Hakuna kabila la watu Wajinga kutoka mkoa wa Mara kama WAZANAKI

Wazanaki ni Wanafiki,waongo,Wachonganishi,Vigeugeu na Wachoyo!

Na uongo kwao siyo Kwa wanawake tu hadi wanaume!
 
Hili zee sijui limekunywa mkojo uliowekwa kwenye chupa kwa mwezi mzima
 
Mkurugenzi mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, mzee Joseph Waryoba Butiku amesema Rais ameishachaguliwa, hatukubali wanaosema aondoke; sio rais wa CCM, ni wa Tanzania

Kwani mzee Butiku sisi tunahitaji ruhusa yako kumuondoa...?

We don't care whether nyie mnamtaka kukaa naye au kumtumia kwa vyovyote...

Sisi Wananchi wa Tanganyika tunasema HATUMTAKI SAMIA SULUHU HASSAN Mzanzibari toka nchi nyingine, sio Rais wetu, hatukumchagua awe Rais. Amejiweka hapo kwa nguvu na tutamtoa kwa nguvu vilevile whether nyie wazee muwe mnataka au hamtaki☹☹☹☹!!

Hawa wazee wa leo ni hopeless kabisa....🤔🤔🤔

She can't kill thousands of innocent bothers and sisters and be left to go free...!!

Mzee Butiku, we say NO WAY....

Blood is paid by blood unless there is an act of repentance...
 
Kachaguliwa na nani?

Laana ya kumuuza polepoke itamtafuna mpaka ajinyeee
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Back
Top Bottom