Mzee baba, pakacha limeanza kuvuja ujue...

Tatizo la mshika kofia ni Mtu wa Visasi sana ,ana beba mambo meengi sana ya Watu Mwisho ankuwa kama ame wehuka.Hata yale ya kawaida kabisa ana yawekea alama ya kuuliza ...Karma ita mtafuna sana Maishani mwake.
 
Mzee wa ndele ntumie tafsiri pm
 
CC Mshana jr:
Pokea gwala kwanza!
Kisha nikuombe jambo. Nalo ni " tafadhali punguza hekima katika mabandiko yako kwani lumumba fc huwa haambulii hata chembe!".
Sababu unaijua kuwa wengi wa upande ule ama ni wale tuliowaita wasaka nyoka kwa maana ya kujichimbia vichakani wakati sisi wengine tukiisaka elimu! Pole yao lakini!
Sasa nikuulize swali: hivi, ngoswe alilewa nini kati ya pombe, kazi yake au mvuto wa yule muuza pombe?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…