Mzee baba, pakacha limeanza kuvuja ujue...

Achana naye huyo Mshana. Naona Anataka kuharibu uzi.
Nadhani hakujui vizuri.Mchukue Ile mida yako akusaidie kazi kidogo(Joking)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwepesi kama bua huyo
 
I wish I could be cheupe dawa ,ningeepukana na haya maisha ya kuishi kwenye nyumba mbavu za mbwa, kulala kwenye kitanda telemka tukaze,.
 
I wish I could be cheupe dawa ,ningeepukana na haya maisha ya kuishi kwenye nyumba mbavu za mbwa, kulala kwenye kitanda telemka tukaze,.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
 
Kwa maneno mengine tunasema, mbuzi kala mkeka.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…