Mzee baba, pakacha limeanza kuvuja ujue...

laana ya kuua watu na kuwatosa majini haiwezi kumuacha mzee salama japo yeye anakana kuhusika lakini maagizo yanatoka kwake
 
Mtani acha Uchochezi

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bana... Bana.. Bana.. Bana.. Bana.. Bana.. Banaaaa... [emoji781] [emoji779] [emoji779] [emoji40] [emoji779] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 

😳😳😳😳😳😳
 
Wagonjwa wa rangi nyeupe mko wengi kumbe??!!!! Subiri na wewe nikutungie shairi Mshana kumbuka "Mwosha huoshwa"
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji40] [emoji23] [emoji3]
 
KAKA mshanga JR MIMI NIMEIELEWA FASIHI YAKO HASA HAPO ULIPOMTUMIA NGOSWE NA CHEUPE DAWA..

KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA NIWE MC HIYO SIKU KWA SABABU HATA KALE KAUNG'ENG'E KA ZIWA KA SATO NAKATIRIRISHA VZURI KABISA

AMA HAKIKA KURUKARUKA SIYO KUKIMBIA.. MSAMBA UKIPASUKA MBWEMBWE ZOTE HUISHA HAPO.
 

Hawa wangoni hawa wanatutia majaribuni hakika
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimeona Cheupe dawa penzi kitovu cha uzembe edwin semzaba
Tulivisoma zamani bado vinafundishwa siku hizi au somo la fasihi bado linafundishwa,penzi kitovu cha uzembe kweli liliniharibia masomo, lkn nashukuru nilisimama nikatimiza ndoto zangu.Niliruka stage rangi ikanizingua chezea kitu white, nilianguka 1994 hadi 2000,nilikuja simama tena baada ya mda mrefu sana kweli penzi kitovu cha uzembe.Nimekitunza kitabu hicho hadi Leo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…