Mzee baba enough is enough

Kuweni wakweli

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Ndio ukweli huo. Mfano kuna siku nilikosana na mpenzi wangu, nikiwa na hasira zangu nikakutana na post yake iliyoongelea wanawake, na it was like aliniongelea mimi kabisaaa. Nikajigundua mie ndio nilikuwa mkosaji bt nilikuwa namuona mwenzangu ndio mkosaji, ikabidi niombe msamaha.

Kuna jambo lingine alishanisaidia sana pia ambalo lilikuwa linanisumbua for a while, nikaja gundua kuwa ni psychological problem.

Mkuu wewe msome ukiwa hauna negativity juu yake, kwakuwa una matatizo yako ktk ndoa yako unajisikia ahueni kusikia matatizo ya wengine pia. Lakini hiyo furaha wanayoonyesha wanayo kwanini isiwe chachu ya wewe kukujenga kutengeneza furaha yako ktk ndoa yako? Ni yapi mazito labda unadhani huwa anayaongelea ambayo unaona huyawezi?
 
Kinachopingwa ni ile hali ya mhusika kutaka aonekane kama malaika.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Kinachopingwa ni ile hali ya mhusika kutaka aonekane kama malaika.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Wewe ndio unataka kumuona kama malaika, yeye huwa anatoa ushauri tu! Of which sioni tatizo lake. Sema wanaume wa kibongo mlio wengi ndoa mnazichukulia poa sanaaa, na wake zenu wamo humo kusogeza siku tu ndio maana mnaona ushauri wake ni mzigo tu kwenu.
Heaven Sent kuja huku.
 
wanatafuta tu jinsi ya kumdiscredit Mauki ili ionekane anachokiongea sio sawa. Ingekuwa anasema wanawake wabebeni waume zenu migongoni ili wasichepuke ungewaona ambavyo wangechekelea. wabinafsiii, kwenye ndoa wanawaza tu furaha yao. Kuna uzi nakutag uone
 
Me too

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…