Kumbe anawachachafya eeeeh!!
[emoji3][emoji3]Nataka kukuomba hela ndio maana nimekuamkia.
"misimamo"huh!!!!Kama hujui misimamo yako ya maisha lazma utaona kwamba anakuchachafya
Shida nazo hazinipi nafasi ya kupumua bwana. We tuma tu.[emoji3][emoji3]
Hivi mmeo huwa anapumua? [emoji23][emoji23]siumeniomba jana tu.
Haya ila Malizana na bonny kwanzaShida nazo hazinipi nafasi ya kupumua bwana. We tuma tu.
Halafu wanawake siku hizi mnatulaumu ooh wanaume wameisha...Bonny anataka hadi nimbembelezeeeee, ananichosha tu.
Boooony nitumie hela basi kaka yangu kipenzi.
Sasa nawe kwanini usubiri hadi ubembelezwe? Si ujiongeze tu!!!Halafu wanawake siku hizi mnatulaumu ooh wanaume wameisha...
Naona pia wanawake wanaelekea kuisha walai "mwanamke unashindwa kumbembeleza mwanaume atoboke asijue saa ngapi kazitoa pesa??
Kwani haujui tunapenda kubembelezwa! Usiponibembeleza unataka nani afanye hivyo.Sasa nawe kwanini usubiri hadi ubembelezwe? Si ujiongeze tu!!!
ndoa nyingi zinakwazwa na ubabe(haki sawa kwa wote),tamaa(ya vitu vizuri na kinyama) na kukosa malengo katika ndoaSiamini kuwa kuna Ndoa zisizo na changamoto za usaliti na migogoro ya hapa na pale.
Na katika ndoa Psychologists hata wakiwa 100 hawawezi kuwa suluhisho kamili.
Suluhisho la Migongano, mikwaruzano na taabu za ndoa lipo kwa Mungu tu aliyekusudia ndoa hiyo.
Psychologists ni binadamu kama wewe na wao pia wanaoa hivyo naamini yanawakuta pia kama vile ambapo Daktari anayekutibu naye huwa anaumwa na anakufa kwa Ugonjwa.
Sasa kaka zangu niwabembeleze, na shemeji zenu nao niwabembeleze! si mtanizeesha jamani!!Kwani haujui tunapenda kubembelezwa! Usiponibembeleza unataka nani afanye hivyo.
Kujiongeza kunakuja unaponipetpet.. tena nakupa uzitunze wewe.
[emoji3][emoji3][emoji125] [emoji125] [emoji125]Sasa kaka zangu niwabembeleze, na shemeji zenu nao niwabembeleze! si mtanizeesha jamani!!
Yapi hayo mkuuMakubwaa
yeah mkuuNdio maana kuna msemo wa ..."Fuata maneno yangu,usifuate matendo yangu"
Wababa mmekuja juu sanaYapi hayo mkuu
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Mbona kawaida sanaWababa mmekuja juu sana
Kama anawajambisha, na yeye pia hayuko salama, lazima kuna anayemjambisha pengine utakuta na kuhara ana hara kabisa.Mauki anawajambisha