Mzee baba enough is enough

Siamini kuwa kuna Ndoa zisizo na changamoto za usaliti na migogoro ya hapa na pale.

Na katika ndoa Psychologists hata wakiwa 100 hawawezi kuwa suluhisho kamili.

Suluhisho la Migongano, mikwaruzano na taabu za ndoa lipo kwa Mungu tu aliyekusudia ndoa hiyo.

Psychologists ni binadamu kama wewe na wao pia wanaoa hivyo naamini yanawakuta pia kama vile ambapo Daktari anayekutibu naye huwa anaumwa na anakufa kwa Ugonjwa.
 
No body is perfect, unaweza kukuta na yeye anaumia ndani kwa ndani huku anaponda wengine
 
Kwahiyo mlitaka akigombana na mkewe awatangazie kama ambavyo nyie huwa mnatangaza matatizo ya ndoa zenu? Anachokiandika kama unaona kinakufaa kichukue, kama unaona hakikufai si unakiacha, kwani lazima!!
Au ndio ile mtu unajisikia faraja unaposikia matatizo ya wengine kwakuwa nawe una yako?
 
Role Model wa wadada wa mjin kwa maana kila mwanaume mkamilifu mfano huwa wanamchukulia yeye ukiwabishia tu utasikia Mauki kasema
Walai simjui ngoja niingie Youtube nikamwone...

Kwa hiyo huyu ni Mange wa kiume? Au
 
Afadhali hatumjui wote.
Hiyo shikamoo unamsalimia mzee aliyekuwa anakatisha wakati unatype eeh!

Nataka kukuomba hela ndio maana nimekuamkia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…