Mzee akutwa gesti na bintiye huko Mbagala, apigwa pingu

Huko Mbagala Charambe mzee Damian Kakauru wa Mkuranga huko Pwani amekutwa na binti yake katika harakati ambazo zilitafiriwa ni kutaka kumbaka binti yake ambaye kisheria hana umri wa kujitambua.

Binti huyo alikuwa analalamika kwa mama yake kuwa baba yae alikuwa anamshawishi kufanya mambo ya watu wazima na pia kumshataki kwa mama yake lakini akamuona kama sio muelewa. Binti huyo alifikisha malalamiko yake kwa walimu wake wa shule aliyokuwa anasoma na walimu wakamtafuta mama wa binti huyo lakini mawasiliano hayakuzaa matunda.

Binti akatoa malalamiko kanisani na muumini mmoja akawasiliana na waandishi wa habari ndipo wakampa binti mbinu za kumuingiza mtegoni huyo mzee na wakamfuatilia hai kumfuma gesti na kupelekwa polisi.

Kisa chenyewe kilirekodiwa kwenye video hapo

ni zoezi jema katika kumpatia haki motto, lakini hao OFM hawakulinda haki za motto.
kwa kutaja majina ya huyo mzee, kuonesha picha yake pale guest na kutaja jina la mama yake na mkuu wake wa shule wamemfanya aweze kujulikana kirahisi na hivyo kuweka wazi aibu yake.
jambo hili litabaki katika kumbukumbu zake na linaweza kumsumbua sana ktk maisha yake siku za usoni.
wanapaswa kurejea tena clips zao na kuondoa ID muhimu za binti kama sura yake ktk picha za guest, jina la mkuu wa shule, jina la mama yake.
 
Kweli mkuu
 
Duuuuu Mtumishi wa mungu hyoo. Ngoja achezee Kifungo cha maisha hamna namna.
"Hatupendag ujinga sisi"
 
Ai
Da! Hii noma hii, kumla mwanao!

Mpaka mwili umeishiwa nguvu!

Hiivtamaa gani hii? Mbona nyapu ni nyapu tu, na mtaani zinajiuza buku buku?

Kwani alijua kwa kuwa amemfuga atakuwa amemla yeye tu?

Huo ni ubwege! Mwache akalambe 30!

Aithee...nyapu ya buku??
 
Hii media ina-expose picha za watu ndo kanuni ya uandishi au?then ikitokea mzee akashnda kesi mahakamani wamejpanga kulipa faini?
Wafchue maovu lakn wahifadh picha za watu.
Apo mtt atachukiwa na ndugu wa uyo mzee haijalish kuwa nkwel au c kwel
 
Huko Mbagala Charambe mzee Damian Kakauru wa Mkuranga huko Pwani amekutwa na binti yake katika harakati ambazo zilitafiriwa ni kutaka kumbaka binti yake ambaye kisheria hana umri wa kujitambua.

Binti huyo alikuwa analalamika kwa mama yake kuwa baba yae alikuwa anamshawishi kufanya mambo ya watu wazima na pia kumshataki kwa mama yake lakini akamuona kama sio muelewa. Binti huyo alifikisha malalamiko yake kwa walimu wake wa shule aliyokuwa anasoma na walimu wakamtafuta mama wa binti huyo lakini mawasiliano hayakuzaa matunda.

Binti akatoa malalamiko kanisani na muumini mmoja akawasiliana na waandishi wa habari ndipo wakampa binti mbinu za kumuingiza mtegoni huyo mzee na wakamfuatilia hai kumfuma gesti na kupelekwa polisi.

Kisa chenyewe kilirekodiwa kwenye video hapo

Ahukumiweeee
 
Back
Top Bottom