mourisous
JF-Expert Member
- Jan 19, 2016
- 443
- 269
Mzee mmoja wa miaka 72 amewaambia waokoaji
vile alivyokabiliana na mamba alipomuona
mwenzake akizamishwa na myama huyo ndani
ya maji kaskazini mwa Australia.
Wawili hao walikuwa wakivua kaa wa matopeni
wakati mamba mmoja alipozamisha boti yao ya
uvuvi katika mkondo wa bahari wa Leaders mjini
Darwin Jumanne asubuhi.
Mtu mmoja alizama baada ya kung'atwa na
mamba huyo alipokuwa akijaribu kupanda boti
hiyo.
Mvuvi mwengine alifanikiwa kumpiga mamba
huyo spana katika kichwa katika kisa hicho cha
saa tatu.
Msemaji wa ambyulansi ya angani Ian Badham
alisema kuwa mamba hao waliendelea kumvamia
mzee huyo wakati wa tukio hilo baya.