Mzazi mwenzangu niliyetoka naye siku ya Christmas nimeachana naye, kumbe kuna jamaa alikuwa anatembea naye

Mkomeeee kuwa mnawathamini michepuko kuliko wake zenu wa ndoa, unamwacha mwenzio amejikunyata kwa upweke home hana wa kutoka naye unaenda kumfurahisha malaya mchepuko alokosa mume we ukamfanya spea eti anakuwa na hadhi kuliko mkeo!
 
Yaani kakomeshwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: nao

Pambav zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: nao
Hakuna mchepuko amewai kuwa na mwanaume mmoja mume wa mtu kwa uaminifu eti ukiwa kwako anakungoja umalizane na wife uje! Kama wapo wanyoshe kidole tuwaone, kama ulimfanya spea jua kuwa na wewe ni spea vilevile.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mfia nchi,

Maumivu anayoyapata mkeo ujaona kama ni ukatili unafanya, lakini mchepuko unaona kakufanyia ukatili kwani uyo ni mkeo adi awe na wewe peke yako? Akati uko bize na mkeo unafikiri upweke nani ampunguzie shost.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Hakuna mchepuko amewai kuwa na mwanaume mmoja mume wa mtu kwa uaminifu eti ukiwa kwako anakungoja umalizane na wife uje! Kama wapo wanyoshe kidole tuwaone, kama ulimfanya spea jua kuwa na wewe ni spea vilevile.
Comment yako imejaa ukweli mtupu. Asante.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom