king herode
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 370
- 579
Habari wakuu,
Hakuna kitu kigumu kama kuwa mzaliwa wa kwanza, ninayopitia ni zaidi ya changamoto, natamani kuishi kama wengine kujijenga kiuchumi lakini kila nikitaka kupiga hatua moja narudi nyuma hatua kama nne hivi kutokana na vita ambavyo muovu anapambana na mimi.
Nime-judge sana watu kuwa na watoto zaidi ya mmoja ili hali hawapo kwenye mahusiano wala hawana malengo na wazazi wenzao. The same has happened to me nimepata mtu sahihi wa maisha nimekaa nae ndan ya miezi nane anakuja mtu from no where anadai kajifungua mtoto wako, sijui hata namuelezaje niliye nae yaan?
Natamani kurudisha siku nyuma kidogo