Hakuna vita ya ufisadi hapa ndugu yangu, hizi za mkulu ni drama tu. Werevu tulisha shituka sikunyingi tu.Kitendo cha Spika kumdhalilisha Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za serikali CAG, ni dalili za wazi kabisa kuwa serikali kupitia kwa Spika ina jambo inalificha haitaki lijulikane.
Mbona watangulizi wake walikuwa wanakaguliwa wakati mwingine walikuwa wanakutwa na madudu makubwa lkn serikali zilikuwa zinakuja na majibu, ingawa mengine yalikuwa si ya kuridhisha lkn walijibu.
Kuna wanaojiuliza, inawezekana ni 1.5T alizohoji CAG, au kuna ufisadi mkubwa unafanyika kupitia miradi mikubwa ya Stieglars Gorge, ujenzi wa SGR, ununuzi wa ndege nk.
Ina maana serikali hii haina watu wenye akili ya kupangua hoja 'professionally' hadi wafunike wizi kishamba namna hii, mbona kwenye EPA walikuja na majibu, Tegeta Escrow walijibu kisomi ingawa hatukuridhika lkn walijibu.
Kwanini isiwe sasa kuna nini wanaficha? Ni uzalendo gani huo sasa wa kutataa kukaguliwa. Kama hamtaki taasisi za serikali zikaguliwe hiyo vita ya UFISADI mtaishinda vipi au ni kiini macho tu?
Yap!Ogopa sana mtu anayependa kuongea na kuonekana yy tuuu kuna kitu anaficha kikubwa sana muda utasema
Kwahiyo we huelewi kabisaa!! Nyie ndo mbolea ya CCM bila shaka yeyote.Kwani tatizo liko wapi? si bunge na CAG,naona unaruka ukuta unaenda kwenye serikali
wazee wa sera mbadala bhana
Hili jamaa no lifisadi likubwa kuliko maelezo. Mbaya zaidi hatumii akili ni vitisho tu.Kaone uzalendo pale chattel mkuu…….hata utafiti wa kufungua tawi la crdb alifanya yeye wkt wenye crdb yao walikataa
Alikataa nini?CAG aliwahi kukataa hiyo 1.5 tena mbele ya rais
Hata kuweka mfukoni inawezekana ameweka, ukiangalia anavyo gawa hela hovyo!!!!Unaweza usiipige 1.5t uweke mfukoni yote, lakini unaweza kufanya miradi ya upendeleo na katika hiyo miradi ukala 10% yako. Mfano halisi wa hizo hela ni mradi wa Chattle airport. Tunasema hivi, tunataka kujua 1.5t zilitumika kwenye nini na ruhusa ya nani fullstop. Kitisho cha pingu hakiwatoi. Huyo spika aliyejigeuza PS wa jiwe hana bahati safari hii.
Sure!WaTz tuna ugonjwa mmoja wa kusahau pindi tulabinshwapo sukari kidogo! CCM na UFISADI - iwe ni ya Nkapa, iwe ya Kikwete, au iwe ya Jiwe - ni kama Samaki na Maji. Samaki hawezi kuishi zaidi ya masaa matatu nje ya maji. Vivyo hivyo, CCm haiwezi ku-survive bila ufisadi (ni utamaduni umejengwa. unaweza kuja kwa majina na kwa namna mbalimbali, lakini ni wizi wa kimfumo). Utamaduni huu hauwezi kutoweka bila CCM kufa kwanza (yaani ikaondolewa madarakani hata kwa muhula mmoja) na pengine ikazaliwa upya huko mbeleni. Ushahidi ni Jiwe, mbali ya kutotaka kukaguliwa (tena kwa mujibu wa Katiba aliyoapa kuilinda) hata kabla ya kuwa rais ameacha stori nyingi huko mawizarani ambazo huibua maswali mengi badala ya majibu - lakini ndiye anyeonekana na kushangiliwa kuwa MZALENDO nambari wani! Kama uzalendo ndio huu, nime-declare sitataka kuwa mzalendo hata siku moja.Acha niwe wakala wa mabeberu.
Mupe muruke hyo.....Hakuna vita ya ufisadi hapa ndugu yangu, hizi za mkulu ni drama tu. Werevu tulisha shituka sikunyingi tu.
Walio chelewa kumbaini, hii ni nafasi yao sasa amejiweka peupe!!!!
Si kweli. Report ya maandishi ya CAG ipo. Ndo mwisho was fix.CAG alisema hamna kitu kama hicho ikulu
Tens Hugo ndo pungu one kabisaaa!!!Polepole anaaminika na nyie wanaccm watu wa akili ndogo, lakini yy ni uchafu kama uchafu mwingine wowote.
Huwezekani tena we ni mboji ya CCM.Washamba wanawaangalia nyie waerevu na kujiuliza pamoja na uerevu wenu wote mbona washamba wanawatoa jasho? Acha kuota awamu ya 4 hapa na kukumbusha haya majeraha yake kwa Taifa hili. Vidonda bado havija pona na mkiendelea kuvikunakuna na hizo kucha zenu chafu vitatoa damu na kupata infections. Damu itakayo toka katika vidonda hivi vya Taifa/Nchi hii haita mwaacha salama Kibaka Mwenye Heshima/KIMWEHE yeyote.
CAG katangaza mwenyewe hadharani tena huko UNO kuwa hana imani na Bunge la JMT. Yeye kwanza si kati ya hao washamba, si ndio? Ajiuzulu basi tuuone uendelevu wa huo ujasiri wake. Haiwezekani akafanya kazi na asiokua na imani nao, haiwezekani! Uzuri kaliongelea USA na anajua wa aina yake huko huchukua hatua gani baada ya kutoa dukuduku zao. Asilete ujanja ujanja ajiuzulu. Kumbe mvi sio siku zote maana yake ni uzee wenye hekima.
hahaa inafurahisha mwizi kumkataa hakimuKitendo cha Spika kumdhalilisha Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za serikali CAG, ni dalili za wazi kabisa kuwa serikali kupitia kwa Spika ina jambo inalificha haitaki lijulikane.
Mbona watangulizi wake walikuwa wanakaguliwa wakati mwingine walikuwa wanakutwa na madudu makubwa lkn serikali zilikuwa zinakuja na majibu, ingawa mengine yalikuwa si ya kuridhisha lkn walijibu.
Kuna wanaojiuliza, inawezekana ni 1.5T alizohoji CAG, au kuna ufisadi mkubwa unafanyika kupitia miradi mikubwa ya Stieglars Gorge, ujenzi wa SGR, ununuzi wa ndege nk.
Ina maana serikali hii haina watu wenye akili ya kupangua hoja 'professionally' hadi wafunike wizi kishamba namna hii, mbona kwenye EPA walikuja na majibu, Tegeta Escrow walijibu kisomi ingawa hatukuridhika lkn walijibu.
Kwanini isiwe sasa kuna nini wanaficha? Ni uzalendo gani huo sasa wa kutataa kukaguliwa. Kama hamtaki taasisi za serikali zikaguliwe hiyo vita ya UFISADI mtaishinda vipi au ni kiini macho tu?
Mgonjwa asiyependa kumeza dawaMwanafunzi asiyetaka kusahihishwa..anapenda kujipa tiki tu hata kwenye makosa
Ndivyo mlivyo wanadamu wa kawaida, kumsifia mtu akishakufa...wacha wenye uwezo zaidi ya wastani tumsifie shujaa Magu akiwa hai...nyie wengine kama mtakuwa hai mtakujakutuunga mkono kutufanya hivyo wakati mwingine wakati Magu wetu shamaliza kusudi lake!Punguza mahaba kama aliwah kuwepo mzalendo nchi hii bac Sokoine nambar moja weng waliobaki n wazugaj tu
Sent using Jamii Forums mobile app