Mzaha wanini wandugu

Mzaha wanini wandugu

murid

Member
Joined
Jul 21, 2010
Posts
44
Reaction score
3
kuna mwendawazimu alikutana na jamaa mmoja barabarani jamaa kamuona mwendawazimu kabeba spana yule jamaa akamuuliza yule mwendawazimu unaenda wp na spana? mwendawazimu akajibu naenda benk kufungua akaut
 

Attachments

  • ALICIA  KEYS (1).jpg
    ALICIA KEYS (1).jpg
    20.3 KB · Views: 87
Back
Top Bottom