Kwa muda wa siku takribani 48 tumejionea kampeni za kisiasa kuwania kiti cha ukuu wa nchi ya JMT. Kuna mambo yamekuwa yakijitokeza ambayo kimsingi ni dharau na ufedhuli unaofanywa na watu wasio na chembe ya huruma kwa wagonjwa.
Hebu tujiulize ni nani hajawahi kuugua? Je mgonjwa kama raia yeyote wa JMT hana haki ya kuchaguliwa kuwa kiongozi? Kwanini CCM na wapambe wake wamekuwa wakiwadhihaki wagonjwa? Hebu fikiria wewe mgonjwa au ndugu yako mgonjwa unasikia watu wanawatukana na kudhihaki na wanadiriki kusema marehemu hatuoni huu ni efedhuli?
Kitendo cha kupiga push ups ni hali ya dharau kabisa kwa wagonjwa.
Yaani unaonesha kuwa wewe una nguuvu na umejaaliwa kuliko huyo unayemdhihaki. Hebu kama unafikiri kupiga push up ni vizuri nenda wodi za wagonjwa kafanye hivyo kama unataka kuwaburudisha uone.
Ikiwa mgombea amefikia hatua hii ya kujitoa utu wake na kuwadhalilisha wagonjwa kwa kupiga push ups, nachukua nafasi hii kuwaomba wale wote wanaoguswa na maumivu, mateso na taabu wanazopata wagonjwa wahakikishe ifikapo tarehe 25 Oktoba 2015 kuwakataa John Magufuli na wote waliowadhihaki wagonjwa aidha kwa maneno au/na matendo yao.
Tumuombe Mungu awaaibishe kwenye boksi la kura washindwe vibaya ila tuwaombee Mungu aendelee kuwapa afya njema.
Kama umekubaliana nami naomba ugonge like ili Mungu atende kwani peooooooooplesssss ni power. Mungu ibariki Tanzania.