Mysteryman ajitolea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mysteryman ajitolea

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mysteryman, Oct 7, 2011.

 1. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Natangaza kujitolea kwa moyo wangu wote na kuweka maisha yangu kwenye mstari kwa kuwa kiongoza wa maandamano na mratibu wa maandamano hapa nchini tukianza na yale ya kupinga malipo ya dowans.....lengo la mimi kuamua hivi ni kutokana na kukosekana kwa mtu au taasisi itakayokuwa ikiongoza maandamano pengine ni kutokana na woga au mazoea ya nchi yetu.....nitaratibu maandamano yote ya amani na nitakuwa nikitoa updates hapa hapa kila wakati mpaka kieleweke....mungu ibariki tanzania
   
Loading...