SOFTWARE myShop Software - Software kwa duka lako

MKUDE SIMBA

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
307
250
myShop Software ni mfumo maalumu kwa ajili ya duka la jumla na rejareja, pharmacy, mini supermarket, saloon za kike na kiume, stationary, maduka ya nguo na viatu na maduka mengineyo.

Bei 250,000 tu, inayojumuisha kufungiwa mfumo, support na training kwako na wafanyakazi wako hakuna gharama za ziada wala expire date ya software hii.

Tunapatikana Dar es salaam, Pwani, Mtwara, Morogoro na mikoa ya jirani; na
Arusha, Manyara, Singida, Dodoma, Moshi na mikoa ya jirani

namba ya simu call/sms/whatsapp 0655 568 588 (Arusha na mikoa ya jirani) na 0717 705 916 (Dar es salaam na mikoa ya jirani) - sms-whatsapp-call us

kwa maelezo zaidi angalia video hii hapa chini na pdf document niliyoambatanisha hapa chini
 

Attachments

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,430
2,000
Sounds Good, Hongereni kwa Ubunifu.
Je mfumo huu unahitaji Computer/Laptop ya features gani? (ukubwa, windows gani n.k) ?
 

MKUDE SIMBA

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
307
250
Sounds Good, Hongereni kwa Ubunifu.
Je mfumo huu unahitaji Computer/Laptop ya features gani? (ukubwa, windows gani n.k) ?
Hello Kivumah , mfumo huu wa myShop unaweza tumia kwenye computer yoyote yenye uwezo wa RAM 1, hard disk size ya kiasi chochote ile, zaidi unakaa kwenye windows yoyote iwe 7, 8 au 10 na ni rahisi kutumia

pia mfumo huu sio lazima uwe na internet, kumbuka unaweza kulipa kwa awamu

Karibu tukuhudumie
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom