Myahudi Ni Yupi Kati Ya Hawa?

Myahudi Ni Yupi Kati Ya Hawa?

na kumpulizia DNA ya kiroho.

?

After our spiritual births we are connected eternally to God in such a way that no matter what happens in our futures, our heavenly genetic link to him will not be broken. How can this be? Think about this:

Is it scientifically possible to remove the DNA connection we have with our earthly parents? No, because new scientific breakthroughs in molecular research have proven DNA can't be completely removed or dramatically altered due to its complex structure.

Is it spiritually possible to remove God's DNA from our souls once we are born again? No. We are linked eternally to him in such a way that no matter what happens in our futures, our heavenly genetic link to God can't be broken.

In other words we won't lose or cut our eternal link with God, but we can break our relationship with him. How? By turning our back on him in rebellion. Similar to what a son or daughter does when they choose to disown their birth family. They may never see their family again, but whatever they do or wherever they go it will never change the fact they have a DNA connection to their biological parents.
 
Empirical Truth:

When the Gospel is preached to you, and you hear the Gospel, and you choose to believe and accept Jesus Christ, you become a Spiritual Jew.

Nonda, do you see why I always say you need Jesus?

 
Last edited by a moderator:


[h=3]Shekhe Zaheed Ampokea Yesu Kristo[/h]

[h=3][/h]
Zaheed alizaliwa kwenye familia ya Kiislamu. Baba yake na kaka zake wote walikuwa viongozi wa dini ya Kiislamu. Zaheed naye alifuata mkondo uleule.


Mara baada ya kuhitimu masomo ya dini na kukabidhiwa msikiti, chuki yake na kutokuwa na uvumilivu dhidi ya Wakristo kulianza kujionyesha waziwazi.


Zaheed anasema, "Nilikuwa nawakusanya vijana kwenye msikiti wangu na kuwachochea dhidi ya Wakristo. Niliwaambia kuwa Wakristo ni makafiri. Niliwaambia waende wakawapige Wakristo kwa fimbo na kwa nondo. Niliwaambia kuwa Allah anafurahi wakifanya hivyo. Tulikuwa tukichoma moto Biblia tunazozikusanya."


Zaheed anaendelea kusema, "Lakini siku moja, nilijisikia tu nichukue Biblia moja niende nayo nyumbani. Nilikuwa naisoma ili niweze kutafuta mambo yanayotatanisha ili niweze kuyatumia dhidi ya imani ya Kikristo. Ghafla, nuru kubwa iliangaza kwenye chumba changu. Halafu nikasikia sauti ikiita jina langu. Nuru ile ilikuwa kali sana. Iliangaza chumba kizima. Ile sauti ikauliza, ‘Zaheed, kwa nini unanitesa?' Niliogopa. Sikujua cha kufanya. Nilidhani ninaota. Kwa hiyo nikauliza, ‘Wewe ni nani?' Kisha nikasikia, ‘Mimi ni njia, na kweli, na uzima.'"








Read more »
 
Last edited by a moderator:

Unafahamu kwanini nimesema mimi ni Jew kupitia BLOOD COVENANT? Jifunze kusoma maandiko, my DNA is Christ's and not human's DNA.
Hawa majew mbona wanamuita Yesu mwanaharamu !?
Really?

[h=2]eter·ni·ty
[/h]noun \i-&[HASHTAG]#712[/HASHTAG];t&[HASHTAG]#601[/HASHTAG];r-n&[HASHTAG]#601[/HASHTAG];-t&[HASHTAG]#275[/HASHTAG];\ : time without an end

: a state that comes after death and never ends

: time that seems to be without an end

Source: Eternity - Definition and More from the Free Merriam-Webster Dictionary

Please note the key words in bold.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ur right !
Ila utafanya kazi ya ziada kumshawishi mtu ambaye imani aliyonayo siyo asili yake tofauti na wayahudi ambao imani yao ndio asili yao na jadi yao na jina lao na mila yao na utaifa wao

Ur right !
Ila utafanya kazi ya ziada kumshawishi mtu ambaye imani aliyonayo siyo asili yake tofauti na wayahudi ambao imani yao ndio asili yao na jadi yao na jina lao na mila yao na utaifa wao


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wayahudi kwa imani za kidini kwa mujibu wa mafundisho ya dini zao.Wengi wao si watu wa mashariki ya kati.
 
Wapo wayahudi kwa imani za kidini kwa mujibu wa mafundisho ya dini zao.Wengi wao si watu wa mashariki ya kati.
Mkuu, Wayahudi gani? Wayahudi sio a single homogeneous group kama unavyofikiri;Kuna Wa-Ashkenazi, kuna Wa-Sephardi, pia kuna Wa-Mizrahi.
Makundi hayo yanatofautiana ktk mambo mengi, mfano: taratibu za kuendesha ibada, dietary rules, matamshi ya Kiyyidish, taratibu za mazishi, mpangilio wa ndani ya Masinagogi pamoja na tofauti nyingine ktk masuala ya imani. Wakati mwingine inakuwa vigumu ku treat Uyahudi kama dini
 
Back
Top Bottom