Myahudi Ni Yupi Kati Ya Hawa?

Myahudi Ni Yupi Kati Ya Hawa?

Unafahamu kwanini nimesema mimi ni Jew kupitia BLOOD COVENANT? Jifunze kusoma maandiko, my DNA is Christ's and not human's DNA.

DNA yako inatokana na DNA ya christ ? kwa hivyo nawewe ni Mungu kama signature yako inavyosema?
 
Myhudi alisi ni mimi mnyiramba niliye na imani ya kifo,ufufuo na marejeo ya Yesu,hao wengine wanajipendekeza katika ukoo wetu hatueajui,Biblia inathibitisha origin yangu katika kabila ya waebrania.
 
Why not?

I AM A BLACK JEW, what about that!!!!!
Umeupataje uyahudi wako?

Umeingia katika dini ya uyahudi? Umezaliwa na wazazi wenye asili ya uyahudi?

Au kwa kupenda tu na kujibambikizia uyahudi?

Max unaye ndugu anaitwa M. Mkwawa? Yeye pia ni black jew!!
 
A Jew is any person whose mother was a Jew or any person who has gone through the formal process of conversion to Judaism.

Why not?

I AM A BLACK JEW, what about that!!!!!

I am a JEW by the blood covenant

Hapo mwanzoni umetoa maana/maelezo ya nani anakuwa yahudi. Baadae unaleta hadithi ya "blood covenant". Ulisahau kuingiza hili katika maelezo ya mwanzo? Blood covenant ni nini, Mlalamishi Max?
 
Kati ya watu wafuatao yupi wewe kwa ufahamu wako ndiye hasaa?

1. Anayefuata imani ya kiyahudi yaani dini ya mayahudi, au

2. Raia wa asili wa nchi ya asili ya Wayahudi, au

3. Yule mwenye asili ya Uyahudi kwa maana ya asili ya kizazi chake bila kujali anapoishi au

4. Yule anayetimiza vigezo viwili au vyote hapo juu!

Naomba ufahamu wako katika hili.
WEWE NI LI ARABU AU LI IRANI? hakuna neno mayahudi ila wayahudi, unasikia wewe mtumwa wa miarabu koko?
 
Kwa kua umeuliza kwa uelewa wangu, myahudi ni myahudi. Sasa kama ameshaitwa myahudi ina maada kuna vigezo vimemfanya aitwe myahudi!
 
There are two type of jews. Active jews are those jews who believe in judaism and spiritual jews, that is all christians all aver the world. get me ya kid of five? Iam a spritual jews, that is why I ilike jews and would like too to protect Israel land a perpetual heriatage to the jewish people.
 
Vipi dada mambo vipi. Nimekunulia lingerie mpya,nitafute pm Tango73
 
Last edited by a moderator:
It is important to note that being a Jew has nothing to do with what you believe or what you do. A person born to non-Jewish parents who has not undergone the formal process of conversion but who believes everything that Orthodox Jews believe and observes every law and custom of Judaism is still a non-Jew, even in the eyes of the most liberal movements of Judaism, and a person born to a Jewish mother who is an atheist and never practices the Jewish religion is still a Jew, even in the eyes of the ultra-Orthodox. In this sense, Judaism is more like a nationality than like other religions, and being Jewish is like a citizenship. SeeWhat Is Judaism?

Unaikumbuka hii?Umesahau uliileta hii link? Umeiweka pembeni? link Jesus is a Jew
 
There are two type of jews. Active jews are those jews who believe in judaism and spiritual jews, that is all christians all aver the world. get me ya kid of five? Iam a spritual jews, that is why I ilike jews and would like too to protect Israel land a perpetual heriatage to the jewish people.
Tango angalia hizi video.

Last edited by a moderator:
There are two type of jews. Active jews are those jews who believe in judaism and spiritual jews, that is all christians all aver the world.
Usisahau kuwa kuna sect ya Kiyahudi imepiga marufuku neno Jesus ambaye ni Christ,na wanaodai kumfuata hujiita Christians.

Hivyo haiwezekani (kutokana na wao) Christians wakawa spiritual jews.

Halafu kutokana na imani ya Wakristo ni kuwa Mayahudi walimuua mungu wa Wakristo, sasa kama wewe ni spiritual jew ina maana wewe pia ulishiriki ki-spiritual katika kumuua mungu wako mwenyewe.
 
Umeupataje uyahudi wako?

Umeingia katika dini ya uyahudi? Umezaliwa na wazazi wenye asili ya uyahudi?

Au kwa kupenda tu na kujibambikizia uyahudi?

Max unaye ndugu anaitwa M. Mkwawa? Yeye pia ni black jew!!

Nonda, Ukristo ni elimu tosha, ndio maana unatoka jasho kila nikitoa nondo za Kibiblia. Itakubidi either utoke kwenye box la gibrelic au uendelee kuwa huko huku ukibakia na maswali ambayo Allah wenu ameshindwa kuyajibu.

Muuulize Allah, kwanini anachukia sana Wayahudi huku akimpigia debe Shetani? Does it make sense to you? Allah awashuparikie Watu, na kumwacha Shetani adui Mkubwa wa Binadamu? In fact, Allah anambembeleza Shetani eti awe Rafiki ya Adam, makubwa haya ndani ya Koran ya Gibril.

Anyways, I AM A BLACK JEW.
 
Hapo mwanzoni umetoa maana/maelezo ya nani anakuwa yahudi. Baadae unaleta hadithi ya "blood covenant". Ulisahau kuingiza hili katika maelezo ya mwanzo? Blood covenant ni nini, Mlalamishi Max?

Kumbe hujui nini maana ya BLOOD COVENANT, halafu unabisha? Nonda Nonda Nonda, haya mambo ya Ukristo yalimshinda Mtume wa Allah, ikambidi aingie mitini, utayaweza wewe?

As I said before, MY DNA is of Christ Jesus. I just blew up your gasket.
John 3:6, "Humans can reproduce only human life, but the Holy Spirit gives new life from heaven." When I received the gift of eternal life through my acceptance of Jesus Christ as my Lord and Savior, God breathed new life into me bringing a spiritual birth. At that moment I received heavenly DNA into my soul in the form of the Holy Spirit.
 
Unaikumbuka hii?Umesahau uliileta hii link? Umeiweka pembeni? link Jesus is a Jew
Well any Gentile – and of course a Gentile is anyone who’s not a Jew – any Gentile who accepts Jesus automatically becomes a spiritual Jew.

The Bible says that we, like these wild olive vines, are grafted in. Romans chapter 2, verse 28, here’s what Paul says – and this is a Jew writing – “For he is not a Jew, who is one outwardly neither is that circumcision, which is outward in the flesh but he is a Jew which is one inwardly [that means spiritually] and the circumcision is that of the heart, in the spirit, and not in the letter, whose praise is not of men, but of God.

John the Baptist said when preaching, ‘Do not think [he spoke to the Jews] that because you are descendants of Abraham that you have special virtue. God is able to raise up from these stones children unto Abraham.’And Jesus said many will come from the East and the West [meaning the Gentiles] and will sit down in the Kingdom with Abraham, Isaac and Jacob.

And again, Paul tells us that if ye are Christ’s, then you are Abraham’s seed. We become Spiritual Jews by virtue of accepting Christ. We’re all saved under the new covenant. The New Testament covenant under which we’re saved, that contract, written with the Blood of Jesus said, “I’ll make a new covenant with the house of Israel….” So you must be a part of the house of Israel spiritually to participate in the new covenant.

And so every Christian – and you know the wonderful thing about this is all the promises that God made to the Jewish people in the Old and New Testaments are ours! They apply to us, and there are a lot of promises there.
 
Tango angalia hizi video.
Empirical Truth:

When the Gospel is preached to you, and you hear the Gospel, and you choose to believe and accept Jesus Christ, you become a Spiritual Jew.

Nonda, do you see why I always say you need Jesus?
 
Kumbe hujui nini maana ya BLOOD COVENANT, halafu unabisha? Nonda Nonda Nonda, haya mambo ya Ukristo yalimshinda Mtume wa Allah, ikambidi aingie mitini, utayaweza wewe?

As I said before, MY DNA is of Christ Jesus. I just blew up your gasket.
John 3:6, "Humans can reproduce only human life, but the Holy Spirit gives new life from heaven." When I received the gift of eternal life through my acceptance of Jesus Christ as my Lord and Savior, God breathed new life into me bringing a spiritual birth. At that moment I received heavenly DNA into my soul in the form of the Holy Spirit.

OK. nimeelewa kuwa uyahudi wako umeupata kupitia ndoto. Ulikuwa uaandike katika yale maelezo/maana ya myahudi pia,"mtu anakuwa myahudi anapopata ndoto ya kutembelewa na roho mtakatifu-(nafsi moja kati ya tatu ya ubunifu wa Paulo) na kumpulizia DNA ya kiroho. Yesu si Mungu anasema: "But about that day or hour no one knows, not even the angels in heaven, nor the Son, but only the Father.Matthew 24:36 "However, no one knows the day or hour when these things will happen, not even the angels in heaven or the Son himself. Only the Father knows.Mark 13:32 (Jibu lako kwa lile swali; there is no God,but One") Yesu si Mungu analalamika kwa Mungu :Then at three o'clock Jesus called out with a loud voice, "Eloi, Eloi, lema sabachthani?" which means "My God, my God, why have you abandoned me?"Mark 15:34 About three in the afternoon Jesus cried out in a loud voice, "Eli, Eli, lema sabachthani?" (which means "My God, my God, why have you forsaken me?").Matthew 27:46
 
Back to the topic of "JEWS"

Romans 2:28 For he is not a Jew, which is one outwardly; neither is that circumcision, which is outward in the flesh:
Romans 2:29 But he is a Jew, which is one inwardly; and circumcision is that of the heart, in the spirit, and not in the letter; whose praise is not of men, but of God.

We are spiritual Jews. Remember the opposite of spiritual is carnal!

Rev 2:9 I know thy works, and tribulation, and poverty, (but thou art rich) and I know the blasphemy of them which say they are Jews, and are not, but are the synagogue of Satan.

Rev 3:9 Behold, I will make them of the synagogue of Satan, which say they are Jews, and are not, but do lie; behold, I will make them to come and worship before thy feet, and to know that I have loved thee.

You see there are literal Jews and literal Gentiles yet all of us are to be spiritual Jews!
 
Kumbe hujui nini maana ya BLOOD COVENANT, halafu unabisha? Nonda Nonda Nonda, haya mambo ya Ukristo yalimshinda Mtume wa Allah, ikambidi aingie mitini, utayaweza wewe?

As I said before, MY DNA is of Christ Jesus. I just blew up your gasket. John 3:6, "Humans can reproduce only human life, but the Holy Spirit gives new life from heaven." When I received the gift of eternal life through my acceptance of Jesus Christ as my Lord and Savior, God breathed new life into me bringing a spiritual birth. At that moment I received heavenly DNA into my soul in the form of the Holy Spirit.

OK. nimeelewa kuwa uyahudi wako umeupata kupitia ndoto.
Ulikuwa uaandike katika yale maelezo/maana ya myahudi kuwa pia,"mtu anakuwa myahudi anapopata ndoto ya kutembelewa na roho mtakatifu-(nafsi moja kati ya tatu ya ubunifu wa Paulo) na kumpulizia DNA ya kiroho.

Yesu si Mungu anasema: "But about that day or hour no one knows, not even the angels in heaven, nor the Son, but only the Father.Matthew 24:36

"However, no one knows the day or hour when these things will happen, not even the angels in heaven or the Son himself. Only the Father knows.Mark 13:32 (Jibu lako kwa lile swali; there is no God,but One")

Yesu si Mungu analalamika kwa Mungu :Then at three o'clock Jesus called out with a loud voice, "Eloi, Eloi, lema sabachthani?" which means "My God, my God, why have you abandoned me?"Mark 15:34

About three in the afternoon Jesus cried out in a loud voice, "Eli, Eli, lema sabachthani?" (which means "My God, my God, why have you forsaken me?").Matthew 27:46. Hivi Yesu alijisahau? Yesu alisahau kuwa yeye ni Mungu?
 
Back
Top Bottom