Mkuu long time hujaonekana jukwaani, jioni tuwepo pamoja katika thread yetu kupeana mambo yatakavyokuwa yakitokea kule Wembley.....
Anakaba huyoo...hataki hata niingie humu. Anaogopa kuibiwaa!!Cantalisia alikubeba jumla?
jukwaa hili limejaa ujinga..
umeonaa eeeh!! Upo mzee mwenzangu? za masiku?
WAHAFIDHINA nyie ukawa mnamatatizo sana wallah mara InterahameNi kawaida hasa kama mliachana kama bado mnapendana.....sasa cha kufanya njoo PM nikishauri maana hapa wapo wahafidhina Asprin Bantu lady King'asti na wengineo😱
Hommie,
Watu wanasema mimi ni nani?
Na wewe unasema mimi ni nani?
nipo salama mkuu...nimerudi tena hapa jukwaani kwetu. Nilipamiss sana hapa nyumbaniLong time no see , mkuu.......
natumaini upo vizuri.
wanasema wewe ni bazazi usie na soni
kwangu wewe ni malaika mkombozi
WAHAFIDHINA nyie ukawa mnamatatizo sana wallah mara Interahame