jukwaa hili limejaa ujinga..
jukwaa hili limejaa ujinga..
umeonaa eeeh!! Upo mzee mwenzangu? za masiku?Linakatisha tamaa na kufukuza watu wenye heshima zao.
Linakatisha tamaa na kufukuza watu wenye heshima zao.
Sielewi nini kinaendea.nimekua naye kutwa nzima jana na leo nimedamka kwenda kumuaga ubungo.hategemei rudi karibuni.anaishi mbeya.hatukupasha kiporo lakini cjui nini anawaza nami cjui nini nawaza.au upweke kisa mume kasafiri.ctaki upepo mbaya upite.naomba nikimuaga nirudi in ma sense.usiku wote nilikua naangalia saa asbh ifike nije ubungo. poleni kwa mambo yangu binafsi ila nishaurini nijinasue
umeonaa eeeh!! Upo mzee mwenzangu? za masiku?
Babu Asprin umeongea la maana sana, yaani mtu unaogopa hata kuingia humu. Sijui ni utoto au ulimbukeni sijui kwa kweli.
Ni kawaida hasa kama mliachana kama bado mnapendana.....sasa cha kufanya njoo PM nikishauri maana hapa wapo wahafidhina Asprin Bantu lady King'asti na wengineo😱