my ex............mnxiuuuuh
haya we mkubali tu olewa naye!!!
akitembea na rafiki yako mwingine mtaliki!
akigundua tena kuwa ni muongo, akikupigia simu mrudie!!!
my ex...............mxiuuuuh!!
Wewe dada unakaribisha virusi kwenye akiri yako. unaonekana huna msimamo achana na mambo ya Tamthilia ,mwili wako una thamani sana acha kuruhusu jamaa auchezee anavyotaka.Ukijiamini na kujiheshimu utapata tu mchumba atakae kuheshimu.Upendo wa kweli ni heshima kwa unaempenda jamani.habar wadau.naombeni ushauri nilikuwa na boyfriend wangu lakini 2liachana yapata mwaka sasa na akawa na uhusiano na rafiki yangu,sasa ananipiia cm anaomba 2rudiane nae kwa madai kuwa amegundua yule rafk yangu ni muongo,na mimi nimefikia muda wa kuolewa nifanyeje na mchumba sijampata?