My Wife DOES NOT WORK !!!

My Wife DOES NOT WORK !!!

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,202
Reaction score
99,941
Jamani hii story nimeikuta mahali, nikaona si vibaya ku-share na Bandugu bangu ba JF, ili at least wekend hii tuwasaidie my wife wetu huko home.

My Wife DOES NOT WORK !!!
Conversation between a Husband (H) and a Psychologist (P):
P : What do you do for a living Mr. Bandy ?
H : I work as an Accountant in a Bank.
P : Your Wife ?
H : She doesn't work. She's a Housewife only.
P : Who makes breakfast for your family in the morning?
H : My Wife, because she doesn't work.
P : At what time does your wife wake up for making breakfast?
H : She wakes up at around 5 am because she cleans the house first before making breakfast.
P : How do your kids go to school?
H : My wife takes them to school, because she doesn't work.
P : After taking your kids to school, what does she do ?
H : She goes to the market, then goes back home for cooking and laundry. You know, she doesn't work.
P : In the evening, after you go back home from office, what do you do ?
H : Take rest, because i'm tired due to all day works.
P : What does your wife do then ?
H : She prepares meals, serving our kids, preparing meals for me and cleaning the dishes, cleaning the house then taking kids to bed.
Whom do you think works more, from the story above ???
The daily routines of your wives commence from early morning to late night. That is called 'DOESN'T WORK' ??!!
Yes, Being Homemakers do not need Certificate of Study, even High Position, but their ROLE/PART is very important!
Appreciate your wives. Because their sacrifices are uncountable. This should be a reminder and reflection for all of us to understand and appreciate each others roles.
All about a WOMAN ....
* When she is quiet, millions of things are running in her mind.
* When she stares at you, she is wondering why she loves you so much in spite of being taken for granted.
* When she says I will stand by you, she will stand by you like a rock.
Never hurt her or take her wrong or for granted...
Forward to every woman to make her smile and to every man to make him realize a woman's worth...!!!
Mwanaume wa namna hiyo alimuonea wivu mkewe kwa kubaki nyumbani wakati yeye akienda job
siku moja kamwambia Mungu, naomba na mm niwe mwanamke nienjoy kama mke wangu, maana mm daily nakonda yeye ananenepa.
Mungu akamwambia sawa, kesho ukiamka asubuhi utakuwa mwanamke naye mkeo atakuwa mwanaume.
Na ikawa hivyo.
yule jamaa (mke kwa sasa) akaamka kesho yake, akamwandalia mumewe chai akaenda job yeye akabaki anaandaa watoto na kuwapeleka shule,
kwa ufupi, ilifika mpaka jioni bado anahangaika na kazi za nyumbani bila mafanikio mpaka mume na watoto wakarudi hata msosi hakuna. wakati enzi zake alikuwa anakuta nyumba safi, watoto wasafi, na msosi tayari.....na wife msafi......
basi kufika usiku yuko hoi taabani, na mumewe anataka haki ya ndoa, akatoa kwa shingo upande huku akilalama uchovu.
Usiku wa manane akaamka na kumwambia Mungu, ni bora nirudi hali yangu ya uanaume maana naona kuwa mwanamke ni mateso zaidi ya nilivyofikiria awali. Mungu hana hiyana, akamwambia poa, utarudi kuwa mwanaume, ila ni baada ya MIEZI 9, maana ulipolala na mumeo umepata MIMBA.
ASANTE.
 
Well said,,...a wife played a big role not only on the family but also on the society at large,,....!!
 
Well said,,...a wife played a big role not only on the family but also on the society at large although they dont being appreciated,,....!!
 
Umeona eeeh, sasa oooh nimeoa mama wa nyumbani kazi umbea tu!! Maskini wee, MUNGU atuhurumie bure tu
Well said,,...a wife played a big role not only on the family but also on the society at large although they dont being appreciated,,....!!
 
when she stare at you............mmmmmh inanihusu sana maaana duh.........................
 
Mhh siku hizi mbona hizo kazi zote wanafanya wadada wa kazi???
 
Ila wanawake wengine kazi umbea tu.

Unamkuta mwanamke ni mama wa nyumbani halafu bado amewekewa na msichana wa kazi, sasa kazi ya huyo mwanamke inakuwa ni umbea na mijiusingizi kwakwenda mbele.

Mkuu Elli wanawake wengine ni majanga tu.
 
Last edited by a moderator:
ni wanaume wachache sana wanatambua role ya mwanamke katika familia wengi huishia kusema hafanyi kazi ilhal akirudi anakuta kila kitu kiko vizuri
 
ni wanaume wachache sana wanatambua role ya mwanamke katika familia wengi huishia kusema hafanyi kazi ilhal akirudi anakuta kila kitu kiko vizuri

Mwanamke alipewa heshima kubwa pale Mungu alipompa kazi ya kuitengeneza jamii kwa kumlea mtoto nyumbani,hakuna kazi ya thamani kama hii!!
 
Mwanamke alipewa heshima kubwa pale Mungu alipompa kazi ya kuitengeneza jamii kwa kumlea mtoto nyumbani,hakuna kazi ya thamani kama hii!!
na kama ni mgumba ??
 
Back
Top Bottom