My Wife and My Phone | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My Wife and My Phone

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bramo, Mar 15, 2012.

 1. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,454
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  Wakuu,

  jana baada ya kurud job mida ya saa kumi na moja jion hv,naingia home na kumkuta wife kajaa tele akifanya kazi za hapa na pale (yeye huwahi kurudi home kutokana na nature ya kazi yake).
  Kwenye saa moja hv nikapata miadi na mtu Maeneo ya Kurasini karibu na niapoishi, nikatoka one time n akumuaga wife kuwa i will be back baada ya nusu saa.

  nikaamua kuacha one of my phone na nikamwambia wife kuwa naacha simu yangu (Si najiamin bwana vimeo Nooo).
  Baada ya kurudi kama kawaida wife akanikaribisha na makiss ya hapa na pale.

  Kuchek simu niliyoikuta,nikakuta missed call kama 8 hv za number nisioijua, nikamuuliza wife akajibu ilipigwa muda mrefu na yeye hakuona ni vyema kuipokea (?).

  Nikaamua ku call back, akapokea mwana Mama ambaye akabisha kuwa haijui namba yangu na wala haja call, nikamwambia "To hell, Goodnite".

  Wife alikuwa anafua bafuni, akajakuniuliza, "Kasemaje huyo mtu?"nikamjibu kama nilivyojibiwa.
  wakati tunalala wife ndo akanipa yaliyotokea.

  "Nikwambie Mumu wangu, ile simu niilipokea na Mazungumzo yakawa kama ifuatavyo"

  Caller (Mwana Mama):"Haloo"
  Wife:"Haloo, habari yako"
  Caller:"Naweza kuongea na Baba Shamila"?"
  Wife:akiwa na mstuko na kujilaumu kwa nini alipokea ile simu maana imemuharibia siku yake "Jina lingine nani,maana hapa hakuna mtu mwenye jina hilo" huku akiomba asije akasikia jina "jingine ni Bramo"
  Caller: "Jina jingine Shabani" huku akiachia msonyo mkaaaaaali
  wife:akishusha pumzi eeeeifff "Hakuna mtu kama huyo"

  Kilichofuata hapo ni Matusi kutoka kwa caller, ila wife akaelewa tu kuwa ile ilikuwa ni wrong Number na kuchukulia poa matusi yote aliyotukanwa.

  Namshukuru my wife for her quick understanding maaana wangekuwa wengine sijui ingekuejw.
  alipomaliza nikamvutia kwangu, Nikampa "machejo" ya hatar hatar mpaka kunakucha.
   
 2. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Kagombee ubunge ARUMERU,maana unauwezo wa kupangilia sera!
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  aaaaaaaaagr!!... gharibu yaani nilijua small house imezingua kumbe mambo ya kawaida....
   
 4. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  alipomaliza nikamvutia kwangu, Nikampa "machejo" ya hatar hatar mpaka kunakucha.[/QUOTE]
  kwenye red hapo,Mkuu are yu siriaz au una brag a la Ashadii?
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  ukiona hivyo, una reputation nzuri kwa mkeo.
  Hongera, keep it up!
   
 6. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,698
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  yah ni kweli reputation ndiyo iliyombeba!
   
 7. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  haya weee ukweli unaujua mwenyewe ngoja tuitikie tu.stor nzuri
   
 8. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  bonge la changa la macho.......................
   
 9. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hongera sana kwa kupata mke anaye fahamu, sasa kumbuka kitu kimoja....wanaume huwa hawatoi siri zao wamefanya nini kitandani na wake zao....watoa siri huwa wana kasoro flani, wewe jichunguze tu lazima una kasoro flani :cool2:
   
 10. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  wanawake kama hao ni wachache sana,ingekuwa wangu ningekesha kwa kutoa maelezo mkuu! Una mke mzuri mkuu
   
 11. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Dah pole mkuu....ila umeiweka kama udaku hivi kamanda. hii inaonyesha unakipaji fulani hivi....in real life..too good to be true broda
   
 12. N

  NYANDA J New Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkeo ana hekima sana,
  ila ushauri wa bure c
  vema ww wla mkeo
  kupokea cm ya mwenzake
  kuaepusha migogogoro icyo ya razima.
   
 13. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,454
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  Mkuu Bishanga, niko niko more than serious, yan ilikuwa ni ile "Nazama natoa, nazama natoa"...
  Namshukuru sana huyu fundi aliyenipaulia hii nyumba,otherwise, watoto wangu wangenichukia kwa kudhan namsulubisha Mama yao...
  Hili Brag a la Ashadii sijalisoma bado,nijuze Mkuu, naamin ashadii yuko Mbali na mtaa huu
   
 14. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,454
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  Mkuu unaposema "Ndo imenibeba"unakuwa hunitendei haki, yani kama vile una maanisha sikustahili vile na nilitakiwa nianzishiwe tifu la kununiwa
   
 15. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #15
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,454
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  ukweli ni kwamba,hiyo No siijui Mkuu
   
 16. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #16
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,454
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  Nani kapigwa changa sasa Mkuu kwa mtazamo wako
   
 17. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #17
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,454
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  Ahsante Mkuu,ila suala la nn unefanya na mkeo kitandani,liko wazi ila tu tunatofautiana kila mmoja na style zake tough nyingi zinafungana.
  Au wewe na mkeo/mumeo huwa mnafanya nn wengine wasichofanya
   
 18. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #18
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,454
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  Mkuu unaonekana huaminik aminik Mkuu
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Hadithi hii inatufundisha nini? Hebu nijuze niigilizie homework yangu
   
 20. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #20
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,454
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  Mkuu,hii ni kweli,nimemuonesha comment, yako, ametabasmu na kusema, mpe hi huyo commenter
   
Loading...