X-PASTER Mkuu!
Nimechelewa kuiona hii, lakini sikuchelewa kukupeni HONGERA!
Mungu awajaalieni kila la heri, baraka, furaha na mafanikio.
Hatua inayofuata ni kungalia
miaka 13 ijayo ili mtimize robo karne
miaka 35 ijayo ili mtimize nusu karne
Muda wowote Mungu atakaowajaalia, muendelee kuwa pamoja kama mke na mume, mama na baba, bibi na babu wa vizazi vyenu - AMIN, AMIN, AMIN!