My upcoming trip to Jordan

Inaleta furaha kwamba na sisi tunaweza ku exlorer the World like this kama alivyofanya dr livingstone na wenzake enzi hizo ,

Namna hii na sisi wa africa tutaweza kupata ukweli ambao tulisha danganywa na wakina dr livingstine,
 
Kuna safari ya Israel tar 21 -28/12/19 unaweza kujoin, gharama 1490$ kila kitu
 
i love travelling aiseee & hizi historical places are priorities on my bucket list.....Mwenye Enzi atakapojaalia nitaanza zi-tick moja baada ya nyingine!

hongera sana mkuu & safari njema.
natumai utatuletea mrejesho
 
Jamaa umeuhisha ndoto yangu ya kutembelea mashariki ya kati in shaa Allah next year Jordan yaweza kuhusika, Algeria pia....
 
Kuna Rafiki yangu Yupo Jordan ,nilipenda,kwenda kutembea ,ila sikujua haya mengine sasa safari yangu naamini itakua nzuri sana,Mkuu asante kwa kuniongezea chachu kufika hapo JORDAN.
 
Wabongo wengi wenye pesa zao ukiwaambia inshu ya kusafiri kuona dunia wanaona kama kuchezea hela ila kwenye kuhonga wanahonga IST,nyumba na viwanja.
Kweli kila mtu na hobbies zake...
Cant wait wait nianze bara la Asia kwanza.
 
Wengine tuwe wapenzi wasomaji maana hata hapo Kenya tuu sijui nitaenda lini?

Safari za ndani zenyewe ni shida tuu
Huko nje tutaweza kweli

H o n g e r a yako mkuu 👏
Totoo usikate tamaa hivyo..wewe bado sana kukata tamaa. Kama ni siku, wewe kwako ni saa tatu asubuhi!
Pambana weka malengo chanya
 
Wabongo wengi wenye pesa zao ukiwaambia inshu ya kusafiri kuona dunia wanaona kama kuchezea hela ila kwenye kuhonga wanahonga IST,nyumba na viwanja.
Kweli kila mtu na hobbies zake...
Cant wait wait nianze bara la Asia kwanza.
Hakika mkuu.

Nami nakushauri anzia Asia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…