ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,115
- 49,833
Ulipotelea wapiii?
Nipo huku ndugu yangu.Kumbe upo huku?? Daah ule uzi wa selfie umenibana hadi nashindwa kuona notifications za nyuzi nyingine nilizochangia..I will my brother I will ngoja nianze kufanya mchakato mambo yakikaa sawa nakwea pipa yuleeeee next stop Dubai,, by the way nimekumiss..
Haswaaaaa. Yeye mwenyewe nimeenda hadi nyumbani kwake sikumkuta nkapata wasiwasi ila mungu ni mwema Leo huyu hapa tupo naeHilo swali naomba nikuulize na wewe ulipotelea wapi?? Nimekumiss mimi jamani yaani kuna watu nisipowaona JF hata siku mbili huwa nakosa mood ya kuchangia na mimi..
Yaani kiukweli kabisa huko kwetu hao wanaojifanya wana uchungu na nchi au maendeleo ni na mashaka nao. Sidhani kama wana dhamira za dhati za kuleta hayo maendeleo.Huku kwetu kazi kutumbuana tu
Kila mtanzania mwenye afya Njema bila maradhi yeyote inapendeza aende akapande mlima Kilimanjaro kuna mengi yakujifunzaMi natamani niwe mtalii nikipata hela. Nitaanza kutalii Ngorongoro na Kilimanjaro
Nilikuwa sina jinsi by then, hivyo pengine haikuwa ridhiki...Offer ya Bahrain ilikuwa si ya kuitosa. The best country in all Middle East to work.
Ndio maana juzi nkaja kimya kimyaππππApige simu Ili asifumanie?
Nakuelewa sana mzee.Nilikuwa sina jinsi by then, hivyo pengine haikuwa ridhiki...
Si unajua mpangaji Maulana mkuu
Zinaruhusiwa lakini nisipofungua geti jua sijafungua kwa sababu ni wewe (maana nitakuwa sijui kama ni wewe)Well, surprise visit haziruhusiwi???