Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,305
Icadon hivi unataka kuniambia hakuna nchi ambayo haina corruption?....hapa USA kwenye kuna corruption kuliko huko bongo sema bongo watu ni wale tuu na tunajuana sana....ndiyo maana its easy kujua data za mtu.
....Kelly01, ni kweli kabisa hamna nchi isiyo na corruption. Ila huko USA wanapowakamata wanawafunga au kuwapatia adhabu zinazostahili. Mifano ni mingi..
....Kwetu, wezi (rushwa) kama unavyosema, ndiyo, karibia wengi ni walewale. Tunapiga kelele katika kujadiliana hapa ili walau nasisi tujaribu kuleta hukumu zinazostahili kama vile zilivyoandikwa kwenye vitabu vyetu vya sheria.