My trip to Russia

ukiwa na HIV huwezi kwenda urusi?
 
Kuna watu wanataka wafike tu ulaya kwa njia yeyote ile then baada ya hapo wanajilipua I mean wanaishi huko huko illegally!
Hahaha no mimi siko hivo just for leisure.Na ushawahi kusikia wakimbizi wa Africa wanazamia Urusi?ile nchi inasheria kali sio kama UK.
 
Hahaha no mimi siko hivo just for leisure.Na ushawahi kusikia wakimbizi wa Africa wanazamia Urusi?ile nchi inasheria kali sio kama UK.

Alaa kumbe! Kama ni hivyo basi sawa ila kumbuka moscow is the most expensive city in the world. Pitia pale mwanza uchukue kaparcel kadogo ka dagaa incase of emergency pale food inapokuwa ghali sana. Lol!

Kila la kheri mkuu!
 

Sikujui lakini Dhamiri yangu inaniambia Hivyo Kwamba Wewe Ni Muongo!

Lakini sikulazimishi kama unafikiria mimi ni Muongo basi nifikirie hivyo hivyo tu haina shaka.Natamani siku nitakayosafiri unisindikize Airport.
 
Nenda New York wewe acha kutumia pesa kihasarahasara (see you at Times Square manhattan)
 
Kama ni leisure nenda malaysia mkuu...ni pazuri sana
 
Viol hivi kama ndo HIV+ na visa ndo hupati?????
:rip:
 

Kumbukumbu zangu zimekufa,nilishasahau kwamba Kiev ni jimbo la Russia ati!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 


Nimependa Sana ufafanuzi Wako!
Ni watu wachache Sana waliopo JF kwa sasa wawezao kumuelewesha mtu namna hii.

Endelea hivyo hivyo kiongozi!!
 
Kuna rafiki yangu naye alienda last year for leasure alikaa 1 week na alienjoy. Tafuta agency hapa bongo yeye atatafuta agency kule watakuunganisha na utapata invitation. All the best.
 
Nenda:
  • Bahamas
  • Marbella - Spain
  • Mauritius
  • Bali
  • Malibu
  • Miami
  • Barbados
  • Morroco
  • Cape Town
  • Copa Cabbana
  • Ipanema
  • Sao Paulo
  • Malta
  • Monaco
  • Dubai
  • Basi hata hapo zanzibar

Ila kwa russia sikuungi mkono hata kidogo

Bali ni kisiwa mojawapo hapo Indonesia, kutoka hapa ni 45min usiende wala sio ishu, nlikuwepo xmas hapo pa kawaida tu, nenda Gold coast bwana aaagh ka hauko duniani
 
Ila nenda uko uko mkuu, kila la kheri sana uje utupe fdbk
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…