dhameery yusuph
Senior Member
- Jul 18, 2013
- 163
- 30
- Thread starter
-
- #41
my wii kuwa first lady sio kazi ndogo atiii! Najipa tizi kwanza
halafu huyu mtoto shombeshombe jana tu nilimkagua, lakini naona kashupaza shingo, naona anahitaji operation ya kikojoleo kama Eli79, niitie dismynder1 aniletee zana
au ??????...
najaribu kufuatilia tabia zako kwanza kabla sijaongea lolote kwa dada yangu Arabela umesikia dhameery yusuph ?Me nafaa ehe slave
Bora we pia umeona
au ??????...
mimi huyu??? utakuwa unanifananisha mie ndo nakuona at ze first tm
hapo sawa> mie ni fisadi ndie nilieanzisha ishu ya kulipia simcard tax.basi sio wewe kaah...... Nilifikiri yule kaka anayeniletea magazeti kila asubuhi, duniani wawili wawili jamani mmefanana sana!
najaribu kufuatilia tabia zako kwanza kabla sijaongea lolote kwa dada yangu Arabela umesikia dhameery yusuph ?
Katavi wamuonea huruma mamndenyi
najaribu kufuatilia tabia zako kwanza kabla sijaongea lolote kwa dada yangu Arabela umesikia dhameery yusuph ?
Ndio hastahili yale anayofanyiwa na masharobaro wa humu ndani...
Karibu JF
my wii kuwa first lady sio kazi ndogo atiii! Najipa tizi kwanza
halafu huyu mtoto shombeshombe jana tu nilimkagua, lakini naona kashupaza shingo, naona anahitaji operation ya kikojoleo kama Eli79, niitie dismynder1 aniletee zana
nipo hapa pacha
nina bisibisi tatu,beleshi,panga
kisu cha kukunja na spana namba nane tayari kwa kazi!!
nipo hapa pacha
nina bisibisi tatu,beleshi,panga
kisu cha kukunja na spana namba nane tayari kwa kazi!!
dismynder1 vyote hivyo atakufa na mshtuko
Mh! Vyote hvyo