thnx much my real dada i love you sana dada yangu.ni kweli kaka wish u ramadhan maqbul
thnx much my real dada i love you sana dada yangu.
usha kaa mpweke siku nyingi dada yake. mie nataka unletee shemejiahsante sana my kaka. Me love you so much ma dia brother
usha kaa mpweke siku nyingi dada yake. mie nataka unletee shemeji
dhameer yusuph anakufaa?
Lady doctor my wii uko wapi!!!!!
dont tell me na leo unaandaa supu ya pweza
wakati kuna watu wanasubiri ukaguzi wako huku
Hivi besti, mbona hukuleta mrejesho baada ya supu ya pweza?? nikaona kimya nikajua malkia yupo ICU manakeeee..my wii kuwa first lady sio kazi ndogo atiii! Najipa tizi kwanza
halafu huyu mtoto shombeshombe jana tu nilimkagua, lakini naona kashupaza shingo, naona anahitaji operation ya kikojoleo kama Eli79, niitie dismynder1 aniletee zana
Hivi besti, mbona hukuleta mrejesho baada ya supu ya pweza?? nikaona kimya nikajua malkia yupo ICU manakeeee..
best we acha tu, kilichotokea baada ya supu ya pweza haifai hata kuelezea......... Mpaka leo uchovu haujaniisha mwenzio
mi nasema bora uchovu kuliko huyo ''mwenzako'' aachwe yatima...teeeeh!
nitonye simjui jui
asante shemeji
lol .......... mpe hi Arushaone
au ??????...shemeji?????? Hahahaaa mimi????
Haya nitamsalimu my hubby
ndo unampendelea kaka? Nitonye wamuonaje?
usha kaa mpweke siku nyingi dada yake. mie nataka unletee shemeji
dhameer yusuph anakufaa?