My sad story, Let's share with all of u

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
It was 2007....Mapenzi yetu yalikuwa mazuri(kwa kiwango cha ufaham nilichokuwa nacho)nilimpenda ila yeye hakunipenda kama nilivyodhani!.....Tulikuwa karibu sana na kutokana na baba kulazwa hosptl kwa maradhi ya moyo kila nilipoenda kusalimia baba nilikuwa nae......Ilikuwa ni tarehe 14 July 2007 mchana nilipojulishwa kuwa Dad pass away!Nilichanganyikiwa lakini baada ya nusu saa nilirudi kawaida,nilienda hosptl nikakuta baadhi ya ndugu,mwili ulihifadhiwa vizuri,nikampigia mpenzi wangu nimjulishe hakupatikana,baba yangu mdogo akaniambia niende kwa kaka yangu nikamjulishe kwani hakuwa anapatikana,.....Nilifika kwa bro akanikaribisha nilipita mpaka chumbani kama nilivyoea(alikuwa hajaoa)ndipo nikakutana na balaa,my biological brother alikuwa ndo anavaa bukta halafu mpenzi wangu alikuwa kajifunika shuka tu na wote walikuwa wanatoka kijasho!Kuashiria walitoka kwenye "Game",sikumbuki kilichoendelea kwani nilipopata fahamu nilikuwa nimelala chini nikipepewa,niliondoka na kuelekea msibani....,.Tulimaliza msiba lakini kwa mateso na maumivu,yule ex wangu sikumwona msibani pia sikuzungumza chochote na bro!Ndipo bro aliniomba tuzungumze,aliniambia kuwa nimsamehe,pia akaniambia walikuwa kwenye mahusiano kwa miezi miwili,niliumia sana,sikua na jinsi nilimsamehe kwa maumivu makubwa,kwani pamoja na yote bado alikua ni kaka yangu tu!Ilipita miezi miwili nilibadili namba simu na nilihama nilipokua naishi kwani ex alianzisha usumbufu!I had a bussines,na mahali ilipokuwa nilipanga niihamishe kuepuka usumbufu wa ex,nikiwa kwenye mchakato huo ndipo asubuhi moja nikakuta duka jeupe limeibiwa lote!!Katika kufuatilia nikaja kuambiwa kuwa ule ulikua ni mpango wa ex,lakini kulikuwa hakuna ushahidi wa kumtia hatiani,NILICHANGANYIKIWA,nilipata ushauri wa kila aina na baada ya miaka 2 nilipona,nimeingia kwenye maisha upya na nimesahau yote,naanza moja!...,.Najua wapo wamepitia kwenye changamoto zaidi ya hizi au wapo walioko kwenye changamoto,nimeamua kushare nanyi ili kama yupo wa kujifunza kupitia mimi basi na ajifunze,changamoto hizi zimenipa uzoefu mkubwa japokuwa nimepitia maumivu makubwa,.Wewe mwenye changamoto,jipe moyo hakuna kisichokuwa na mwisho,chukulia hiyo kama shule ya kujifunza japokuwa unajifunza kwa maumivu makubwa ya hisia na mwili,niliekuwa namuita mpenzi amenidisha nyuma,KUWENI MAKINI,i love u all!
 
Pole sana my dia......lakini mshukuru Mungu alikuonyesha mapema na zaidi ya hayo amekusaidia kuendelea mbele na maisha yako
 
Haikuwa yako hiyo ila shukuru Mungu alikuonyesha mapema na uhusiano huo ulikufa kabla haujaendelea. Ni miaka imepita sasa endelea na maisha yako na mshukuru Mungu kw akiila kilichotokea na sahau vile vile
 
Pole sana Kaka, Wanasema kwamba " A malignance has its magnificence" Yaani Kila Baya lina Zuri lake. Endelea na Maisha
 
Pole sana my dia......lakini mshukuru Mungu alikuonyesha mapema na zaidi ya hayo amekusaidia kuendelea mbele na maisha yako
Thanx much,be bessed!
 
Pole sana Kaka, Wanasema kwamba " A malignance has its magnificence" Yaani Kila Baya lina Zuri lake. Endelea na Maisha
Usijali niko poa!Lengo langu hasa ni kuwapa fursa wengine ya kujifunza kupitia mimi!
 
Kaka ndio uanaume huo. Mi wananishangaza ma bro wanao ingilia mahusiano na mademu na wakati mwingine wake wa wadogo zao.Very bad thing
Usijali maisha ndivyo yalivyo!
 
Ina maana mbali na kukusaliti katika mapenzi, pia alikuwa jambazi?
Cant share any such experience with you because havent had any;
Just I join the others with sympathy.
Pole sana Mkuu. Shukuru kuwa aligundua haya mapema.
Una bahati sana.
Life goes on. Hailipi kuendelea "kulia kwa misiba ya zamani".
 
Ina maana mbali na kukusaliti katika mapenzi, pia alikuwa jambazi?Cant share any such experience with you because havent had any;Just I join the others with sympathy.Pole sana Mkuu. Shukuru kuwa aligundua haya mapema.Una bahati sana.Life goes on. Hailipi kuendelea "kulia kwa misiba ya zamani".
I knw that's why nayachukulia kama chuo tu!Thanx anyway!
 
Soo sad brother. Songa mbele na maisha kaka wala usiwaze yaliyotokea wewe endelea na maisha yako
 
Pole mzazi sasa hivi ukitongoza kuwa 50/50 sio unakabidhi moyo wako wote kwake afadhari alitembea na kaka ako ni moja ya raha kula na nduguyo. Jipange upya maisha yapo na yataendelea kuwapo kamanda.
 
Vitu vingine havifai kushare!
 
Yaani your biological brother ndio alikufanyia hivyo?? Kweli hapa duniani hakuna wa kumuamini.....pole sana!!!
 
Hivi binadamu unaweza vipi kumpenda binadamu mwenzio? Maandiko pia hayajatufindisha kuwapenda watu bali...tuwapende MAJIRANI!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom