MY PREDICTION: Donald Trump is the next US President

MY PREDICTION: Donald Trump is the next US President

Donald Trump ndiye Rais ajaye wa Jamhuri Ya Muungano ya watu wa Marekani.Huu ndio utabiri wangu. Nilitabiri kuhusu Buhari wa Nigeria, nikatabiri kuhusu Magufuli, na sasa nimetabiri kuhusu Donald Trump... MARK MY WORDS!!!
huyu mwehu akiwa rais mm naomba niwe wa mwisho kuamin
 
Sijui, lakini jana Papa Francis ametifuana naye kiasi cha Papa kumwambia kwa tabia zake si Mkristo
Na marekani ukiambiwa hivyo umekwisha

Huyu PAPA kakasirishwa na statements za Trump kuhusu kupendekeza lake la kujenga ukuta kuzuia wahamiaji kutoka Mexico, Papa anacho tafuta pale ni kutaka kukasirisha Wamerikani wenye asili ya kilatino kama yeye wasimpigie kura Donald Trump!

Kinacho shangaza ni kwamba Israel nayo inajenga ukuta kudhibiti Wapalestina, mbona sikuwahi kumsikia Papa akikemea Waziri mkuu wa ISRAEL?
 
Donald Trump ndiye Rais ajaye wa Jamhuri Ya Muungano ya watu wa Marekani.Huu ndio utabiri wangu. Nilitabiri kuhusu Buhari wa Nigeria, nikatabiri kuhusu Magufuli, na sasa nimetabiri kuhusu Donald Trump... MARK MY WORDS!!!
Labda Republican nomination lakini general election futa kabisa,huyu mwehu hawezi kuwa Raisi wa US hata iweje
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Donald Trump ndiye Rais ajaye wa Jamhuri Ya Muungano ya watu wa Marekani.Huu ndio utabiri wangu. Nilitabiri kuhusu Buhari wa Nigeria, nikatabiri kuhusu Magufuli, na sasa nimetabiri kuhusu Donald Trump... MARK MY WORDS!!!

Marekani siyo Jamhuri mkuu, ni muungano wa mataifa ya marekani, United States Of America.
 
Donald Trump ndiye Rais ajaye wa Jamhuri Ya Muungano ya watu wa Marekani.Huu ndio utabiri wangu. Nilitabiri kuhusu Buhari wa Nigeria, nikatabiri kuhusu Magufuli, na sasa nimetabiri kuhusu Donald Trump... MARK MY WORDS!!!

Bwana trump ni rafiki yangu wa muda mrefu nasubiri aapishwe nikale bata white house. Na akishika madaraka tu tunakuja kuwapiga madikteta wa afrika
 
Donald Trump ndiye Rais ajaye wa Jamhuri Ya Muungano ya watu wa Marekani.Huu ndio utabiri wangu. Nilitabiri kuhusu Buhari wa Nigeria, nikatabiri kuhusu Magufuli, na sasa nimetabiri kuhusu Donald Trump... MARK MY WORDS!!!
Kwasababu wenzetu walisha tushinda mambo mengi hasa kwenye maswala ya demokrasia na mimi ninaimani trump ndio rais ajaye wa marekani. labda sijui kitokee nini lakini hesabu zangu 100%
 
Sijui, lakini jana Papa Francis ametifuana naye kiasi cha Papa kumwambia kwa tabia zake si Mkristo
Na marekani ukiambiwa hivyo umekwisha
Mkuu kauli ya papa haitobadilisha nia ya wamarekani japo ni kiongozi mkubwa na mwenye nguvu duniani.Pili wamarekani na ukatoriki hawako karibu kivile.
 
Hata hii dunia mwisho wake ni kiongozi yeyote atakaye kubaliana na alama ya mnyama ambayo ni 666 na kiongozi huyo ni mtawala wa taifa kubwa na lenye nguvu duniani na ambalo hilo taifa litakuwa na ushawishi mkubwa sana kutoka kwenye kanisa kubwa lenye nguvu na ushawishi kwenye mataifa mengi duniani na linajulikana kwa hiyo atuwez Kubeza matamshi ya papa kwa trump kwa sababu ili America iwe na nguvu ya kutawala dunia lazima ipate support kutoka kwenye kanisa lenye nguvu duniani na linajulikana
 
Mimi utabiri wangu ni kwa Jeb Bush,uchaguzi bado kabisa na Marekani ni watu wabaya sana lolote linaweza kutokea kwa muda mfupi tuu.

Huna habari? Jeb Bush kwisha habari yake. Amedrop out baada ya kupata 7% tu ya kura huko South Carolina. Music wa Trup umemkimbiza
 
Hebu tupewe historia kidogo kuhusu mtindo wa utawala marekani alafu tuhusishe na utabiri wako,nadhani utaukana peupee. Rich dad poor dad hawezi kuwa rais.
 
Anaweza..hapendi unafiki anasema yaliyo moyoni mwake ..anao wachukia anawataja wazi wazi ..hivyo huyu sio mnafiki ashasema hawapendi wtu fulani fulani na hata kutaka kuwapiga marufuku wasiingie huko USA.
lakini itakua vyema kwa Africa watu kama Museveni , Kabila, Shein na CCM, Kagame na Nkururuzina wajiandae kuondolewa kwa nguvu as hawataki wananchi wachague wanao wataka
 
Sijui, lakini jana Papa Francis ametifuana naye kiasi cha Papa kumwambia kwa tabia zake si Mkristo
Na marekani ukiambiwa hivyo umekwisha

daaa Ungeanza na Obama kwanza...kifikiria kidogo tu
 
Tumuombee Donald Trumph awe rais wa marekani na ni huyu aliyependekeza bara la Africa litawaliwe tena na wazungu kwa kuwa sisi tumeshindwa kujisimamia kiuongozi na HUYU NDIYE RAIS ANAYEHITAJIKA KUJA KUWANYOOSHA AKINA FYOKO FYOKO WANAOONA VYOMBO VYA USALAMA NDIO KIMBILIO LAO LA KUBAKI MADARAKANI.
Trust me, madai ya kwamba Trump alisema hivi au vile kuhusu viongozi wa Afrika ni uwongo na yamekuwa yakitolewa na magazeti ya porojo au tashtiti, na Waafrika na vyombo vingi vya habari Afrika vimeyazoa bila kutafakari na kuangalia sources za habari hizo. Jiridhishe mwenyewe, google uone ukweli wa mambo. Je, mnakumbuka wakati mmoja zilivuma habari hapa kwamba binti ya Obama ana mimba? Ni vyombo hivyohivyo vya tashtiti ndivyo vilizua habari hizo. Wabongo tukanywa habari kama vile kweli. Wabongo yatupasa kuwa wadadisi zaidi.
Mnaomwombea huyo bwana natilia mashaka uelewa wenu wa mambo. Hivi kweli mnafuatilia mambo anayoyasema au mnarukia tu? Prove me wrong, nipe credible source ya habari mnazodai Trump kasema.
 
Back
Top Bottom