MY PREDICTION: Donald Trump is the next US President

Ndio fact iliyopo kwa sasa hasa yule mazaa akikosa nafasi ya kugombea basi Rais wao ajaye ndio huyo mtawala mpya wa afrika kuanzia January 5 mwakani
 
Donald Trump ndiye Rais ajaye wa Jamhuri Ya Muungano ya watu wa Marekani.Huu ndio utabiri wangu. Nilitabiri kuhusu Buhari wa Nigeria, nikatabiri kuhusu Magufuli, na sasa nimetabiri kuhusu Donald Trump... MARK MY WORDS!!!
Kwaher, yeuwiii auwii, yelewiiu
 
Tumuombee Donald Trumph awe rais wa marekani na ni huyu aliyependekeza bara la Africa litawaliwe tena na wazungu kwa kuwa sisi tumeshindwa kujisimamia kiuongozi na HUYU NDIYE RAIS ANAYEHITAJIKA KUJA KUWANYOOSHA AKINA FYOKO FYOKO WANAOONA VYOMBO VYA USALAMA NDIO KIMBILIO LAO LA KUBAKI MADARAKANI.
 
Sijui, lakini jana Papa Francis ametifuana naye kiasi cha Papa kumwambia kwa tabia zake si Mkristo
Na marekani ukiambiwa hivyo umekwisha
 
Trump ndiye Magufuli wa U.S.A.

Namkubali sana Trump na atashinda bila ya wasiwasi.
 
Sijui, lakini jana Papa Francis ametifuana naye kiasi cha Papa kumwambia kwa tabia zake si Mkristo
Na marekani ukiambiwa hivyo umekwisha
Toa uzushi wako huko eti marekani ukiambiwa hivyo umekishwa? Nani aliyekudanganya? Unadhani wamarekani ni mazuzu kwenye maamuzi
Papa ndio Nakubali kasema lakini Hakuna impact yoyote kwenye safari ya trump, amin hivyo
 
Hao Wamarekani wa kumsikiliza Papa ndiyo hawa ambao mtu akipinga ushoga hadharani wanamuandama hadi mwisho?!
 
Mimi utabiri wangu ni kwa Jeb Bush,uchaguzi bado kabisa na Marekani ni watu wabaya sana lolote linaweza kutokea kwa muda mfupi tuu.
 
Sijui, lakini jana Papa Francis ametifuana naye kiasi cha Papa kumwambia kwa tabia zake si Mkristo
Na marekani ukiambiwa hivyo umekwisha
papa ana influence gani marekani, papa ushawishi wake umebaki kwenye nchi za ulimwengu wa tatu kama Tanzania, Kenya n.k
wazungu huwaambii blah blah za dini wakakuelewa
 
mbona obama anasapot ushoga na papa alikiwa anaupinga...yule papa wa zaman

mbona obama alishinda
 
papa ana influence gani marekani, papa ushawishi wake umebaki kwenye nchi za ulimwengu wa tatu kama Tanzania, Kenya n.k
wazungu huwaambii blah blah za dini wakakuelewa
mh! speed humps ahead
 
papa ana influence gani marekani, papa ushawishi wake umebaki kwenye nchi za ulimwengu wa tatu kama Tanzania, Kenya n.k
wazungu huwaambii blah blah za dini wakakuelewa
Hujui utawala wa dunia ulivyo ndo maana una m undermine sana huyo papa rais wa marekani ni kama ceremonial leader kwa papa. Hutanielewa kama hutakua mfuatiliaji wa mambo kwa jicho la tatu;)
 
Donald Trump ndiye Rais ajaye wa Jamhuri Ya Muungano ya watu wa Marekani.Huu ndio utabiri wangu. Nilitabiri kuhusu Buhari wa Nigeria, nikatabiri kuhusu Magufuli, na sasa nimetabiri kuhusu Donald Trump... MARK MY WORDS!!!

If Clinton is not nominated by the Dems! I can agree with you for now; BUT BUT BUT! A week in politics is like a decade; remember Bill Clinton; the amazing come back kid of 1992!! Watch this space.
 
Toa uzushi wako huko eti marekani ukiambiwa hivyo umekishwa? Nani aliyekudanganya? Unadhani wamarekani ni mazuzu kwenye maamuzi
Papa ndio Nakubali kasema lakini Hakuna impact yoyote kwenye safari ya trump, amin hivyo
Before you insult your betters just google Religion and politics in the USA
Halafu utajua kati ya mimi na wewe nani zuzu
Yaelekea shule yako ndogo,jifunze kutafiti before you open your trap
 
Back
Top Bottom