MY PREDICTION: Donald Trump is the next US President

MY PREDICTION: Donald Trump is the next US President

Kampeni zake zimejaa msisimko,akishinda geopolitics inaweza kuonekana kama zama za akina Bush baba na mtoto.
 
Mimi utabiri wangu ni kwa Jeb Bush,uchaguzi bado kabisa na Marekani ni watu wabaya sana lolote linaweza kutokea kwa muda mfupi tuu.

Nakubaliana na wewe japo kwa kweli Jeb is an outside chance; bora hata Rubio
 
Sijui, lakini jana Papa Francis ametifuana naye kiasi cha Papa kumwambia kwa tabia zake si Mkristo
Na marekani ukiambiwa hivyo umekwisha

yani papa bora asingeingilia maana ndo kampa kiki balaa
 
Hujui utawala wa dunia ulivyo ndo maana una m undermine sana huyo papa rais wa marekani ni kama ceremonial leader kwa papa. Hutanielewa kama hutakua mfuatiliaji wa mambo kwa jicho la tatu😉
Tanzania na Africa ndio kiongozi wa dini anakua na ushawishi kwenye siasa, kama maaskofu walivyo fanya ushawishi wao ile 2005
 
Pope ana influence kwa hizi nchi ambazo nguvu zake zina ziada kwa nyuma, kumbuka ziara yake Juzi apo utapata ukweli
nchi zina ziada kwa nyuma kivip? sijakuelewa
 
Donald Trump ndiye Rais ajaye wa Jamhuri Ya Muungano ya watu wa Marekani.Huu ndio utabiri wangu. Nilitabiri kuhusu Buhari wa Nigeria, nikatabiri kuhusu Magufuli, na sasa nimetabiri kuhusu Donald Trump... MARK MY WORDS!!!
Hata mimi naombea sana huyu jamaa achukue nchi na ikiwezekana alitawale bara la Africa kama ndoto yake ilivyo. Viongozi wa Africa isipokuwa Magufuri wanatakiwa kitu kinaitwa kiki ya watu waliodata kama Trump.
 
Sijui, lakini jana Papa Francis ametifuana naye kiasi cha Papa kumwambia kwa tabia zake si Mkristo
Na marekani ukiambiwa hivyo umekwisha
Kwa hiyo papa ndiye anaenda kupiga kura?
 
Tumuombee Donald Trumph awe rais wa marekani na ni huyu aliyependekeza bara la Africa litawaliwe tena na wazungu kwa kuwa sisi tumeshindwa kujisimamia kiuongozi na HUYU NDIYE RAIS ANAYEHITAJIKA KUJA KUWANYOOSHA AKINA FYOKO FYOKO WANAOONA VYOMBO VYA USALAMA NDIO KIMBILIO LAO LA KUBAKI MADARAKANI.
Teh teh teh

Amekuja wakati muafaka maana naona huyo wa kwetu anaanza kuota magego taratibu

Na jinsi malofa wanavyompa heko basi bichwa limekuwa ka tikiti
 
kambagasa said:
Hata mimi naombea sana huyu jamaa achukue nchi na ikiwezekana alitawale bara la Africa kama ndoto yake ilivyo.
We binti hujui shida tuliyoipata wakati tunawaondoa wakoloni,Eti?

Leo unataka waje,unaweza kuwaondoa wewe?

Viongozi wa Africa isipokuwa Magufuri wanatakiwa kitu kinaitwa kiki ya watu waliodata kama Trump.
Isipokuwa nani?huyo anayebaka demokrasia ya Znz?
 
mkuu vitu vingine vinajieleza wazi havihitaji utabiri mfano kwa magufuli -ununuzi wa washawasaha ni ishara tosha CCM ilijiandaa kwa njia yoyoyte ile ibakie madarakani-kuwashika wale vijana wa CDM waliokuwa wana tally matokeo sasa huo nao ni utabiri.mfano ktk uchaguzi wa jana uganda eti unaweza kusema unatabiri mseveni atashinda si itakuwa kituko,hivyo hivyo kwa USA kuna viashiria
1.Kwa USA huwa sio rahisi chama kimoja kuongoza mfululuzo
2.anaepigiwa chapuo democratic ni hillary clinto ambaye ni mwanamke,huku ktk historia ya USA hajawi kutokea mwanamke kuongoza taifa hilo
3.Mume wa hillary clinton alisha wahi kuwa rais,hivyo itakuwa ni kama wanarisihana madaraka na ukiangalia sio miaka mingi toka mume wake ametoka kuitawala USA
Hizi sababu zinaweza zisiwe na uzito sana ukilinganisha na sababu za ( kiuchumi,kisiasa,kijeshi,na kijamii ) lakini ndo sababu halisi vichwani na machoni mwa watu-na kwa maana hiyo kete kubwa inabaki kuwa kwa mgombea wa republican
 
Back
Top Bottom