Uwezo wako kichwani ni sifuri kabisa,Kama ulivyoujinga kutetea mataifa ya nje yaje yakusaidie matatizo yako ya ndani huo ni ujinga teeena ujinga wa hali ya juu
Pointless kabisa,acheni kutumia hata ndege zao,dawa zao,nguo zao,silaha zao,magari yao,pesa zao kama dola,Euro na mjitegemee kila kitu 100%.Hivi
Hivi akili zenu mnadhani hawa watu wanawapenda ninyi? Demokrasia gani waliwawekea watu wa Iraq Libya na Afghanistan? Waulizeni wazimbabwe na Morgan aliwafikisha wapi. Msishabikie vitu vyabkipuuzi. Nimeishi na hawa wanyama miongo miwili hawana thamani na sisi hata kidogo. Wapatieni nafasi wawavuruge muishi kama wanyama.
Jiulize mambo Museveni anayowafanyia Waganda ni sawa na Magufuli? Paul Biya Cameroon naye mbona hawajamuwekea hivyo vikwazo?
Mlilemazwa na kina Kikwete sasa ngangari jiwe kaingia anawapelekesha mchakamchaka mnalia.
MTALIA SANA HUYO MNAE MPAKA 2025 NA BAADA YA HUYO ANAMUACHIA KIJANA WAKE MAJALIWA MOTO CHINI KWA CHINI.
Nashukr sanaUwezo wako kichwani ni sifuri kabisa,
I don't need your thanks,get them where they fit,una roho ya kiuaji sana wewe mtu, he that supports a killer is a killer too.Nashukr sana
Hao wote waliouawa na kupotezwa hakuna tume yoyote huru ilioundwa kuchunguza huo uvunjifu wa haki za binaadamu hakuna mahala EU imesema itawapata bali wanachotaka ni haki itendeke tume iundwe ichunguze na waliohusika wakamatwe wafikishwe kwenye vyombo vya sheria EU ndo ilichosema hicho ila sababu wewe hauna shule yoyote ile pamoja na Shigongo akili zenu zinawashawishi kwamba ni sababu Raisi anafanya kazi vizuri sio kosa lenu ni kosa la kukosa fursa ya kupata elimu bora ya kuwawezesha kupambanua na kuchanganua mamboNdg nmesoma uzi wako kwa Eric Shigongo nikabaki nashangaa tu!!
Kwahyo EU wataondoa haya uliyoyaropoka???? Yani wakusaidie ww mtanzania kwa kipi???? Hivi unajua the northers agendas in African countries??? Je unayoyasema sjui Mawazo kauawa na watu wanaozania kuwa CCM Kwahyo kwaumri wako hata hao Eu hakuna mwanasiasa ama mtu wa kawaida anayeuawa kama ya Mawazo????? Kwamba Africa nzima hayapo haya ila TZ pekee?????? Unajielewa kweli au unaropoka tu????
Au unasema wapinzani wanakandamizwa hv ww hebu niambie hali ya upinzani ilivokuwa hapo nyuma kabla ya Magufuli???
Unataka kusema wakat huo wapinzani walifanya siasa kwa uhuru???? Umesahau ya DKT Slaa???? Lipumba??? Acha unafiki ndg usizani sie hatujui
Unasema tangu Magufuli aingie madarakni hali imekuwa ngmu unachekesha saaaa!!! Kwmba Magufuli kaingia madarakani watu hawafanyi biashara,, watu hawalimi kwa sababu kuna vita nchini??? Kwamba watu hawatembeleani koz hqki hamna!!! Watu hawqfungi ndoa koz no haki??? Kwmba watoto hawaendi shule koz no haki???? Kwqmba wanafunzi vyuo vikuu vimefungwa kwqmba no Haki na nchi haikaliki???? Watalii hawaingiii??no wageni koz tz haikaliki?????
Acha kumnafikia Eric katoa maoni yake binafs kama hujayapemda kaa kmya acha kupotosha watu tz bado iko moja na imeshkamana haijalishi kelel zenu za kinafiki wananchi wanajua tukp pamoja na Magufuli hadi mwisho wa Safari????
Kwanza umeshndwa kusema namna mnavyotumika na mabeberu unaegemea kutoa mmbo ya ajabu!!!
Yaaani unataka kusema watu waache kufanya kazi eti kisa hakuna demokrsasia ya mbowe kusimama jukwaani kuitukana serikali eti???? Kwmba mtu hana ajira,,, aache kwenda kulima,,, mtoto asiende Shule kisa wapinzani hawasimami majukwaani kuitukana serikali?????
Na kama ndo hvyo kwann EU hawakutoa matqmko juu ya kinachofanywa na Trump kuhusu kuwafukuza CNN kwenye mikutano yake mbona hujaongea hilo???? Mbona ww unatia soni hivyo?????
Rais wangu Baba yetu sisi tuko pamoja mungu atakupigania achana na wanafiki hawa wachache mungu yu pamoja nawe najua kazi uliyonayo Baba ila kamwe naomba usikate tamaa baba simama imara mungu atakulinda!!!
VivaShigongovivamagufulivivatanzania
Yani mkuu kuna watu wanaongea vitu vya kipuuzi then wanajiita wasomi mara wanajitambua nk.Hivi Hawa wazungu wanaowapenda watanzania hawakuona mauaji ya Mwangosi, Kuteswa kwa kibanda, Ulimboka, lipumba kupigwa kipigo cha mbwa koko,Mauaji Arusha 2011 nk.Yani leo mzungu ndio kagundua Tanzania kuna ukiukwaji wa Haki za binadamu na anataka kumsaidia mtanzania. Ni mpumbavu tu atakwambia wazungu wamechukizwa na uvunjifu wa democracy,WENYE AKILI WANAJUA MASLAI YAO YAMEBANWA na njia ileile waliyotumia Libya na mataifa mengine wanataka kumtoa madarakan Yule wanayemuona kikwazo wa MASLAI YAO. Wanajua fika Afrika kuna watu wanaakili za kizombie kama mtoa mada so tukisema tunakuja kuwasaidia kuleta democracy tayar tunawanasa.Ndg nmesoma uzi wako kwa Eric Shigongo nikabaki nashangaa tu!!
Kwahyo EU wataondoa haya uliyoyaropoka???? Yani wakusaidie ww mtanzania kwa kipi???? Hivi unajua the northers agendas in African countries??? Je unayoyasema sjui Mawazo kauawa na watu wanaozania kuwa CCM Kwahyo kwaumri wako hata hao Eu hakuna mwanasiasa ama mtu wa kawaida anayeuawa kama ya Mawazo????? Kwamba Africa nzima hayapo haya ila TZ pekee?????? Unajielewa kweli au unaropoka tu????
Au unasema wapinzani wanakandamizwa hv ww hebu niambie hali ya upinzani ilivokuwa hapo nyuma kabla ya Magufuli???
Unataka kusema wakat huo wapinzani walifanya siasa kwa uhuru???? Umesahau ya DKT Slaa???? Lipumba??? Acha unafiki ndg usizani sie hatujui
Unasema tangu Magufuli aingie madarakni hali imekuwa ngmu unachekesha saaaa!!! Kwmba Magufuli kaingia madarakani watu hawafanyi biashara,, watu hawalimi kwa sababu kuna vita nchini??? Kwamba watu hawatembeleani koz hqki hamna!!! Watu hawqfungi ndoa koz no haki??? Kwmba watoto hawaendi shule koz no haki???? Kwqmba wanafunzi vyuo vikuu vimefungwa kwqmba no Haki na nchi haikaliki???? Watalii hawaingiii??no wageni koz tz haikaliki?????
Acha kumnafikia Eric katoa maoni yake binafs kama hujayapemda kaa kmya acha kupotosha watu tz bado iko moja na imeshkamana haijalishi kelel zenu za kinafiki wananchi wanajua tukp pamoja na Magufuli hadi mwisho wa Safari????
Kwanza umeshndwa kusema namna mnavyotumika na mabeberu unaegemea kutoa mmbo ya ajabu!!!
Yaaani unataka kusema watu waache kufanya kazi eti kisa hakuna demokrsasia ya mbowe kusimama jukwaani kuitukana serikali eti???? Kwmba mtu hana ajira,,, aache kwenda kulima,,, mtoto asiende Shule kisa wapinzani hawasimami majukwaani kuitukana serikali?????
Na kama ndo hvyo kwann EU hawakutoa matqmko juu ya kinachofanywa na Trump kuhusu kuwafukuza CNN kwenye mikutano yake mbona hujaongea hilo???? Mbona ww unatia soni hivyo?????
Rais wangu Baba yetu sisi tuko pamoja mungu atakupigania achana na wanafiki hawa wachache mungu yu pamoja nawe najua kazi uliyonayo Baba ila kamwe naomba usikate tamaa baba simama imara mungu atakulinda!!!
VivaShigongovivamagufulivivatanzania
Cognitive dissonance is ur big problemI don't need your thanks,get them where they fit,una roho ya kiuaji sana wewe mtu, he that supports a killer is a killer too.
Ubarikiwe!!!Hao wote waliouawa na kupotezwa hakuna tume yoyote huru ilioundwa kuchunguza huo uvunjifu wa haki za binaadamu hakuna mahala EU imesema itawapata bali wanachotaka ni haki itendeke tume iundwe ichunguze na waliohusika wakamatwe wafikishwe kwenye vyombo vya sheria EU ndo ilichosema hicho ila sababu wewe hauna shule yoyote ile pamoja na Shigongo akili zenu zinawashawishi kwamba ni sababu Raisi anafanya kazi vizuri sio kosa lenu ni kosa la kukosa fursa ya kupata elimu bora ya kuwawezesha kupambanua na kuchanganua mambo
Na watu wote waseme AminaUbarikiwe!!!
Nawewe inatakiwa ujiulize haya yanayotendeka kwa magufuli je hayakuwahi kutendeka?Je hao wazungu washawah itisha mkutano kutoa tamko?Je Tanzania inauvunjifu wa democracy kuliko Congo,Uganda au Rwanda?Je huko aametoa matamko?Ukijibu haya nafikiri hoja za hao wazungu hata ziwe valid vipi bado ni UPUMBAVU kwa kuangalia nini agenda yao ya msingi.Hakuna mzungu wa kuja mumpigania mtu mweusi na ikatokea hivo mmmmmmh OGOPA SANA.Kama umemsoma vizuri mleta mada amegusia vipengele viwili, usalama wa raia (matukio tisa) na gesi kukwapuliwa na China. Swali la kujiuliza ni je, hayo yote aliyo yataja mleta mada ni kweli yali/yanatendeka na serikali imenyamaza kimya? Kama serikali imenyamaza kimya, Shigongo amewahi kuandika walaka wa kuguswa na kuishauri serikali kwa matukio hayo?
Nchi ni ya kwetu sote, tukosoane kwa staha. Wote tuna ipigania Tanzania. Samahani kama nitakuwa nimetumia lugha ya kukwaza.
Democracy kwao ni kutoa maoni sawa na wao.Ukitoa maoni kinyume na matakwa yao tayar ujiandae matusi. Waimba democracy ndio vinara wa kuvunja democracyUsisahau kuwa kila mmoja wetu ana haki na kuwa na maoni yake. vile vile ufahamu kuwa siyo lazima maoni yetu kuhusu jambo yafanane. Mnapozungumzia demokrasia, maoni yana sehemu yake [tena kubwa tu]
Ingekuwa hivyo basi mijadala yetu kwenye jamvi ingepigwa marufuku pamoja na magazeti yangepigwa marufuku.Democracy kwao ni kutoa maoni sawa na wao.Ukitoa maoni kinyume na matakwa yao tayar ujiandae matusi. Waimba democracy ndio vinara wa kuvunja democracy
Asante mkuu umenena!!!!!Yani mkuu kuna watu wanaongea vitu vya kipuuzi then wanajiita wasomi mara wanajitambua nk.Hivi Hawa wazungu wanaowapenda watanzania hawakuona mauaji ya Mwangosi, Kuteswa kwa kibanda, Ulimboka, lipumba kupigwa kipigo cha mbwa koko,Mauaji Arusha 2011 nk.Yani leo mzungu ndio kagundua Tanzania kuna ukiukwaji wa Haki za binadamu na anataka kumsaidia mtanzania. Ni mpumbavu tu atakwambia wazungu wamechukizwa na uvunjifu wa democracy,WENYE AKILI WANAJUA MASLAI YAO YAMEBANWA na njia ileile waliyotumia Libya na mataifa mengine wanataka kumtoa madarakan Yule wanayemuona kikwazo wa MASLAI YAO. Wanajua fika Afrika kuna watu wanaakili za kizombie kama mtoa mada so tukisema tunakuja kuwasaidia kuleta democracy tayar tunawanasa.
Good analysis!!!Nawewe inatakiwa ujiulize haya yanayotendeka kwa magufuli je hayakuwahi kutendeka?Je hao wazungu washawah itisha mkutano kutoa tamko?Je Tanzania inauvunjifu wa democracy kuliko Congo,Uganda au Rwanda?Je huko aametoa matamko?Ukijibu haya nafikiri hoja za hao wazungu hata ziwe valid vipi bado ni UPUMBAVU kwa kuangalia nini agenda yao ya msingi.Hakuna mzungu wa kuja mumpigania mtu mweusi na ikatokea hivo mmmmmmh OGOPA SANA.
You're so daft,that you support a tyrant whose hands bears blood, and you're not an intellectual to grasp the truth that prevails over the country, that's why I asked you if you're either a married woman who gets her needs from her hubby without learning how her hubby toils to get her some food or you're simply a stupid boy who relies on his brother in law and lives at his home, and he strives not for his futureCognitive dissonance is ur big problem
Kama mnatafuta fair mercy kwa kuangalia majirani unyama wao ndo na nyie mnatenda,basi this time imekula kwenuNawewe inatakiwa ujiulize haya yanayotendeka kwa magufuli je hayakuwahi kutendeka?Je hao wazungu washawah itisha mkutano kutoa tamko?Je Tanzania inauvunjifu wa democracy kuliko Congo,Uganda au Rwanda?Je huko aametoa matamko?Ukijibu haya nafikiri hoja za hao wazungu hata ziwe valid vipi bado ni UPUMBAVU kwa kuangalia nini agenda yao ya msingi.Hakuna mzungu wa kuja mumpigania mtu mweusi na ikatokea hivo mmmmmmh OGOPA SANA.