Tembomtata
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 266
- 427
Magari:Dar vijana wengi wanapenda Verosa,GX100 wadada Harrier Arusha magari yanayo dominate ni Subaru (Forester) kwa vijana Rav4 kwa wadada
Mapenzi:It was argued that "couple nyingi za dar ni wababa kwa wadada kwasababu wababa ndo wenye hela (e.g Mengi na Jacky) while Arusha wadada wengi wako na wakaka as wakaka ndo wenye hela (e.g Mawala). na wakaka wengi wanatembea na wazungu as wazungu wanahela
Mavazi:Dar Vimini kwa sana kwa wadada na bensi kwa wanaume Arusha:Makoti ya leather kwa wakaka na trouser sana kwa wadada
Hairstyleπar Kiduku zaidi kwa vijana while Arusha dreadlocks kwa vijana
Silaha:Arusha: Very common kwa wakaka kuwa na Bastola Dar: wababa ndo wenye silaha zaidi
Ongezea kama umeobserve any
hawapendi ila ndio uwezo ulipoishia.......
weather ndugu,huwezi kuvaa kimini kwenye baridi na huwezi kuvaa leather jacket kwenye 30-35c labda uwe limbukeni mshamba wa fasheni..
vijana wa arusha wako violent na malimbukeni......samahani lakini.....
Wanaapolo wanashobokea sana nyagi wakati vidume vinajimiminia mabiyere kwa wingi
Machalii wanakanyaga trupa a.k.a michemsho kwa wingi wakati machizi wanafakamia kitimoto, makange na samaki choma.
Arusha wanaogopa magari wakati Dar wanaogopa mvua.
Ntarejea

Magariπar vijana wengi wanapenda Verosa,GX100 wadada Harrier Arusha magari yanayo dominate ni Subaru (Forester) kwa vijana Rav4 kwa wadada
Mapenzi:It was argued that "couple nyingi za dar ni wababa kwa wadada kwasababu wababa ndo wenye hela (e.g Mengi na Jacky) while Arusha wadada wengi wako na wakaka as wakaka ndo wenye hela (e.g Mawala). na wakaka wengi wanatembea na wazungu as wazungu wanahela
Mavaziπar Vimini kwa sana kwa wadada na bensi kwa wanaume Arusha:Makoti ya leather kwa wakaka na trouser sana kwa wadada
Hairstyleπar Kiduku zaidi kwa vijana while Arusha dreadlocks kwa vijana
Silaha:Arusha: Very common kwa wakaka kuwa na Bastola Dar: wababa ndo wenye silaha zaidi
Ongezea kama umeobserve any
Dar wanuka vikwapa kutokana na majasho kila kona na joto watu muda wote wamenuna: Arusha wananukia kimtoni mtoni tu kila mtu barabarani mzuri, msafi anatabasamu.
Wanaapolo wanashobokea sana nyagi wakati vidume vinajimiminia mabiyere kwa wingi
Machalii wanakanyaga trupa a.k.a michemsho kwa wingi wakati machizi wanafakamia kitimoto, makange na samaki choma.
Arusha wanaogopa magari wakati Dar wanaogopa mvua.
Ntarejea
Dar hakuna wanywaji!
Ukienda bar imejaa lakini wote wanasubiri chips mayai.
arusha wanachomana visu kugombea mademu Dar rarely! Tehe
Mpambano bado unaendelea na wale wachunguliaji bado wanaendelea kuchungulia! weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Dar/Arusha shusha vituuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
Magariπar vijana wengi wanapenda Verosa,GX100 wadada Harrier Arusha magari yanayo dominate ni Subaru (Forester) kwa vijana Rav4 kwa wadada
Mapenzi:It was argued that "couple nyingi za dar ni wababa kwa wadada kwasababu wababa ndo wenye hela (e.g Mengi na Jacky) while Arusha wadada wengi wako na wakaka as wakaka ndo wenye hela (e.g Mawala). na wakaka wengi wanatembea na wazungu as wazungu wanahela
Mavaziπar Vimini kwa sana kwa wadada na bensi kwa wanaume Arusha:Makoti ya leather kwa wakaka na trouser sana kwa wadada
Hairstyleπar Kiduku zaidi kwa vijana while Arusha dreadlocks kwa vijana
Silaha:Arusha: Very common kwa wakaka kuwa na Bastola Dar: wababa ndo wenye silaha zaidi
Ongezea kama umeobserve any
Vijana wengi wa kidaslama wana ishu za kichoko *****, ndio wanaongoza kwa kuomba bia bar. Halafu wanahonga sana mademu zao kiboya boya ( unakuta demu wa kawaida tu halafu muhongaji anagongewa kama boya lakini yupo tu )
mademu wengi wa dar ni malaya kwa sababu maisha magumu
vijana wengi wa dar hawaja experience kuwa na mahusiano na msichana mzuri ambaye ni descent