''My Number One''

''My Number One''

unanikoshaje unavyoitaga Tized kingoni!!!!!!! Mie hoi.

jina la mtu unayemfeel tamu bana!
ehehehhehehhe kitu cha ...................................... yani unasikia kitu kinaitika tu taratiiiiiiibu mi maswala ya darling sijui honey au d,cha ya nini bana!kandamiza jina la mutu wako!hayo mwengone waachie wanaojifunza kuasign autograph na sticker zake!
 
Kamili mzee, We ni mmojawapo wa walioelewa hii concept ya N0 1 kwa undani wake. Big up.

Anko wangu mmoja humuita mkewe ''my miss world'' at least inaleta kitu, ila sasa ukimcheki huyo miss world mwenyewe sasa.... ndio unabaki ''beauty is in the eyes of beholder'' any way, My number one haniingii kichwani vizuri kwa wengi wanachofikiria kwamba inakimaanisha iyo no. 1

kwikwikwi.... kuna jamaa humwita mkewe "white". siku nilipomwona huyo "white" nilichokaje! mke mwesi tii, kama kuna kagiza giza asipocheka anaweza asionekane.

Bold: Exactly! waswahili husema "Ukipenda, chongo huita kengeza"
 
EHEHEHEHHEHE
best we unataka watu tulie humu!
MOJA NI MOJA KWA MBILI UJUE!
ila kwa KUMI NA MOJA MOJA NI MOJA TUUUU!
kinumerali iko hiv
1 ni 1 kwa 2
but 1 ni 1 kwa 11
sawa enh! watu8 come zis wei kwa ufafanyuzi
mwite na Kaizer au Asprin!

Khaaaaaaaaaaaaa!!!:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 
Back
Top Bottom