My Man is a workaholic

Be truthful and say it LOUD AND CLEAR that you want him to be YOU. THAT WILL NEVER HAPPEN. Tell me more about his occupation that may shed more light why work matters so much in his life.
 
If he can only read her mind,she'll say...buy me a rose,call me from work....verse sijui ila naona mulemule tu
 
Hapo ni bora utafute jinsi ya kujipanga wewe maana inategemea na aina ya kazi anayofanya yeye. Kuna kazi zingine huwa balaa, yaani deadlines after deadlines. Haswa yangu ya Software Engineering, muda mwingi najikuta usiku wa manane napiga codes, mke kalala zake zamani.
Huwa nikija huko kwenu Tanzania ndio usipime, nafanya kazi usiku wote maana sina mtu wa kunishangaa.

Mke wangu keshazoea na kila nikipata fursa huwa nawapa treat ya nguvu pamoja na wanangu. Kwa maisha ya sasa, bora jamaa anayejituma na badala ya kulala kwenye sofa ama kwenye klabu akinywa. Yaani mwanaume unapiga kazi kwa bidii halafu tengeneza hela fursa ikipatika un-spoil familia yako hadi wanakosa kujielewa.

cc: kadoda11
 

but ikiwa huna bidii kwenye kuajiriwa hata ukijiajiri utakuwa zembe tuu,,,, na mtaji utakufa.....be the same kote kwenye kuajiriwa na kujiajiri,,, kikubwa ni kujipangia muda wa kupumzika....that's only brother.
 
Kwa mwanamke kamili hashindwi mtihani huu, tumbo busara kama mwanamke atabadilika
 
Ngoja aombe likizo ya wk tu utamchoka na utaanza kutaman likizo iishe fasta.
 
Nina swali. Anasimamia shoo vizuri?

Nauliza hivyo kwa kuwa nami ninafanana na jamaako. Ninatingwa sana na kazi lakini mwenza wangu akihitaji kupiga stori nami huwa naweka pause kazi. Sometimes hata muda wa kazi anaweza kunifuata ofisini akanisubiri nje ya gari. Ninatoka tunapiga stori kidogo kisha ninaendelea na kazi. Ila nikiwa na nyege ama yeye awe na nyege nahakikisha anaridhika. Wikendi huwa natafuta muda tunakwenda mahali kutembea. Kisha naendelea kutingwa na kazi kama kawa. Kuwa busy siyo ishu kubwa, lkn kuna wajibu wa kimahusiano muhimu kuutimiza
 

good finishing.workaholic nzur ni ya kujiajiri..point noted.
 
Wengi wanaongelea concept ya work hard, play hard - Ila mwasahau kuwa to some few passionate individuals the work is in itself play.

These are the ones who are passionate about, love and enjoy their jobs. They find fulfillment in their jobs; to them there is no need for much play, so they dont think in your terms.

If he falls under this category, as I do, then him reducing his addiction for work is an issue. He cant control it.

I would advise you for now to rather make sure that you spend together with him the brief free time he has, and ensure that he has some quality fun, pleasure and enjoyment with you and the world, good enough to make him wish for more.

By offering him an alternate way of gratifying himself other than work, he sure would start thinking of spending more time outside work.
 

I am a programmer, single though....I can imagine what your wife is experiencing!
 
Pamoja na kuwa interested na kazi zake, jaribu kumuiba mara kwa mara. Mfano msapraizi na kidate cha dinner. Mfuate ofcn muambie twende mahali kuna bendi ama dinner, ama hata star gazing. Get a together hobby kama swimming ama gym once a week.

Kama Ni Mhasibu Imekula Kwake
 
wadau shukrani kwenu nyote,
ntafanyia kazi na kurespond badae kdogo
 
Brother madenge8 ndiyo ni wa kizazi hiki. She is just 32 kwa sasa. Mwalimu kwa Diploma but akili yake na virtue zale huwa zinanishangaza....namshukuru Mungu kwa upendeleo alionipa sana

Mkuu mimi naona walimu wote wanawake wako loyal kwenye mahusiano yao.
Huwa naona hawana mambo mengi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…